Duration 8:43

Kuna siku Diamond ataenda SHAMBANI kulima, mafunzo MUHIMU kwanini ataendelea kuuchuma UTAJIRI

31 155 watched
0
1 K
Published 10 May 2020

Category

Show more

Comments - 208
  • @
    @mariabahati12644 years ago Wow wasafi tower that gonna be amazing bless you more and more. 5
  • @
    @mrishorashid41614 years ago Kama umeielewa hii makala asilimia mia moja. Gonga likes zakutosha twende sawa. 121
  • @
    @ritchiexanti95874 years ago Makala moja amazing. Haya nipeni likes na mi nione raha. 57
  • @
    @elimumwaipaja744 years ago I wish i could be you Skywalker.. Get blessed..
    : one has a doubt about Diamond platnumz ni kama Nyoka wa Shaba.
    17
  • @
    @akibarahamadi50584 years ago Namkubali sana diamond platnumz napenda kumuona anazid kufika mbali. 44
  • @
    @emilymula6454 years ago A very successful musician/ business man.
    only one thing has remained elusive.
    6
  • @
    @officialmpbaraka29994 years ago Sky umetisha
    umeeleweka
    mungu atusimamie ktk utekelezaji wa mambo yetu binafsi.
    23
  • @
    @waitemacassarlatifolatifo47443 years ago Vc merece um prmio irmo( una style ya tunzu) 5
  • @
    @zennakailo81064 years ago Maltin mbona unajua kutunga ivyo mashaallah (inatakiwa tuifate leo yetu na wala syo kesho yetu shukran sana (ceo) 16
  • @
    @hajikishuwa10784 years ago Fact sns, like 5 kwa mwanachama wa sns. 13
  • @
    @BoraKuliko4 years ago Dah kaka wewe ni mwalimu bora sana. Acha nitoke hapa nikakomae na leo yangu. 10
  • @
    @saidabdulkadirmjahid82553 years ago Marketing and innovation; makala bora sana sns movie ya diamond na biography book ije this guy is my all time inspiration. 3
  • @
    @Babangida_Hd4 years ago The man is too intelligent and focusing. 15
  • @
    @BigZhumbe4 years ago Alafu bidhaa yake hermonize eti haimtambui diamond. Haya maisha haya. 12
  • @
    @sir-dmwaye18914 years ago Dah brother ww unajua umenfanya nifikirie mbal zaid na kujiona kma nabweteka niamke na nipiganie maisha yangu. 3
  • @
    @Makavelithedon20864 years ago wachache sana wataelewa hili, tengeneza leo ili kesho yako iwe nzuri. 12
  • @
    @yusuphjafarijr75834 years ago Nili tamani hii stor iwe na zaid ya lisaa na kidogo maana ni chakula kitamu sana hik. 13
  • @
    @fadhilisanga23924 years ago Sky safi sana bro umejaliwa sauti na akili kubwa sana. 12
  • @
    @selemanimsahani39194 years ago Amakweli kwamm nikiskia tu jina diamond moyo hua unashtuka xana. 8
  • @
    @gramsraymond5954 years ago Hata like moja tu inatosha wadau kw hii makala. 4
  • @
    @thelonewolf44294 years ago Hii ndio motivational speech sasa yaukweli. 8
  • @
    @israelmsemwa78674 years ago Great platnumz out of music u are a great man making money. 5
  • @
    @yusuphjafarijr75834 years ago Brother sky today, umenifanya nitoke machozi kwa jinsi navyo iwaza kesho yangu maana leo yangu imejaa vikwazo, vita na kukatishwa tamaa zaidi. Asante kaka sky. 28
  • @
    @malikasdiary35274 years ago Well worded! Safi sana msimulizi, safi sana muandishi na safi sana diamond. 1
  • @
    @maembamwita58744 years ago Bro sky ww ni moto wa kuotea mbali anaekupinga ni mchawi. 8
  • @
    @twalebleboss96874 years ago DIAMOND PLATNUMZ.KEEP ON FLYING . 1
  • @
    @BigZhumbe4 years ago Jana na leo ni muhimu sana katika maisha ya wapambanaji. 2
  • @
    @lilianjeremia10244 years ago Dah mpk machoziyaan leo yangu ni ngumu ya kesho nawaza itakuwaje
    Kiukweli nimejifunza kitu asante kwa makala htri ya leo
    3
  • @
    @mussanassoro7904 years ago Thank you brother u are really geneous and good mentor.
  • @
    @ltlmedia84804 years ago Kiukweli una ni inspire san brother sky na nitafika ulipo. Pia nimefrai kwa makala hii. 7
  • @
    @selemaniamiri59164 years ago Umenikumbusha leo sisubiri tena kesho thanks a lot! 8
  • @
    @salgadomohamed46694 years ago Well done bro. Simulizi nzuri na yenye mafunzo. Myself imeni inspire niamke na kufanya leo yangu ya mafanikio. Ahsante bo ubarikiwe sana.
  • @
    @machauchris53174 years ago Facts kiukwelii kakaa, jamaa anaamini wakati alionao kwani anajua uzeeni aishi vzuri. 1
  • @
    @babylonyNgwembe4 years ago Tatizo letu vjana weng ndoto znakufa kwaajl ya mahusiano mana wake wa sasa hv weng pasuwa kichwa na hawana vision ulyonayo ww. 12
  • @
    @richardjilles40714 years ago Duh nlikua nataman hii simulizi isiishe. 2
  • @
    @mwasitiyasini21814 years ago Hii stori nimeipenda sana na nimejifnza kitu kwenye hilo. 1
  • @
    @themicbandforeveryone199972 years ago Malala kali sana baba una fanya vyema sana ni peni like zangu. 1
  • @
    @ahmedmahamudu41402 years ago Mimi hapa after his speech after watching foa in cinemax
    diamond platnumz ni shujaa wa taifa hili.
  • @
    @shebbylove31404 years ago Wise advise kwakweli vijana tunatakiwa tuamkee.
  • @
    @mohamedidd31614 years ago Kubwa sana hii brother @sky ahsante kwa chakula kizuri nasubiri futari nishushie kwa tende, hiki ni miongoni mwa vyakula vya akili, kongole kwa mwandishi @martinkiumi. 1