Duration 15:59

'Upinzani umekuwa ukishinda uchaguzi, lakini hatupewi nafasi ya kuiongoza Tanzania' Zitto Kabwe.

118 780 watched
0
561
Published 2 Feb 2020

Siku chache tu baada ya kuibua mjadala mkali kote nchini Tanzania kuhusu msimamo wake kuhusiana na uamuzi wa benki ya dunia kuahirisha kupiga kura juu ya mkopo wa dola milioni 500 kwa Tanzania zilizokuwa zikilenga miradi mbalimbali ya elimu. Mbunge na kiongozi wa chama cha upinzani cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe, amemueleza mwandishi wetu Zuhura Yunus kuwa upinzani umejizatiti kakabili utawala na kulinza ushindi wao katika uchaguzi mkuu ujao. #ZittoKabwe #Uchaguzi2020 #Tanzania

Category

Show more

Comments - 314
  • @
    @maisatou4 years ago Zito amepeleka bungeni matatizo gani yanayoyakabili kule kwao kigoma ambayo yamewasaidia? Nakumbuka ameweka taa za nguvu ya jua, katika kiumbe kinachoishi( acheni mchezo na mapambano. Mwezi wa jana wamefukua mifupa 60/70 burundi na wale walioanzisha mauaji wengi wako ulaya. Jee tukikubali wanasiasa haswa wapinzaniwapi? Wazee, watoto na wakina mama na mabibi zetu wataangaliwa na nani? Wanaokuja kuanzisha fujo wana kwao, what about you.
    a. R. Msimbazy
    .
    ...Expand
  • @
    @ramadhanikhaji8004 years ago We ulisikia wapi mzungu akataka nchi yenu iwe na maendeleo? Ukiona jambo kama hili linatokea basi jua kua wameshaona mlicho nacho nakina faida kwao. Hivyo . ...Expand 4
  • @
    @allenuswege13124 years ago The genius wa tanzania nchi yetu n waoga sana hawana uhuru wa kuongea na uhuru wa kusikizwa haupo kabisa nchi imeharibiwa na ccm zito tunakukubali sana . ...Expand 11
  • @
    @gracemima52344 years ago Zitto kabwe, rais magufuli sio size yako. Ulizowea kumutisha rais kikwete kwa upole wake akikuunganisha na safari zake za ulaya, hizo dili hazipo kwa rais . ...Expand
  • @
    @princeholy25364 years ago I' m appreciate zitto yuko correct anachosema. 3
  • @
    @MrLemunge4 years ago Unafaa sana hata kuwa raisi wa nchi hii. 4
  • @
    @deograsiamgeni57164 years ago Hongera zitto unajibu maswali kwa uvumilivu na ujadili, ningehojiwa hivyokitambo. 9
  • @
    @bashibashiphotographer38744 years ago Ccm wameumia sana kanakwamba hawaon wimbi la watoto wa mtaan wakizidi kuongezeka tukutane uchaguzi mkuu. 6
  • @
    @saidpara74944 years ago Wakati mwingine tuwe tunamsikiliza mtu vizuri. Sio kila anaeikosoa serikal aonekane mbaya. Sina chama. 6
  • @
    @issackchalahani12354 years ago Ccm mwisho kushinda nafasi ya urais na viti vingi bungeni ilikuwa mwaka 2005, baada ya hapo wanaishi kwa pumzi ya nec na dola. 17
  • @
    @comfortjaffer35414 years ago Zito mwenyewe anashiba anataka sisi tulale na njaa. 1
  • @
    @peterfaustus78584 years ago Nakukuba xana brother una upeo mkubwa xana. 5
  • @
    @pauljoseph18004 years ago Mimi ni mwana ccm lakini huyu jamaa anajua sana. Hizi ni talanta chache ambazo nchi inatakiwa kuzilinda kwa gharama yoyote. 18
  • @
    @nurdinjumbe88154 years ago Nimemsikiliza vizur zito kabwe jamaa yuko sawa kichwan yaan huyu ni zito mmoja ni sawa na wana cm wote tanzania. 14
  • @
    @smturky24064 years ago Nimependa iyo point uchumi ni wa serikali sio wa wananchi. 1
  • @
    @nailamohd76934 years ago Mahojiano mafupi halafu mazur asante da zuhra. 7
  • @
    @abdulkuluwia65254 years ago Uhuru amna akat kila siku wanaita ma press confrence. 2
  • @
    @rkplatnumzrkplatnumz45424 years ago Kiukweli huyu jamaa anaendana na jina lake yani ni zitto kweli. 2
  • @
    @youngdreamertz7314 years ago Hata wew ungekuwa kiongozi wa juu leo swala la ajira usingelimaliza kwa asilimia 100% coz hata marekani na mataifa makubwa bado wanawatu ambao hawana kazi, ila mengineyo nakuunga mkono 100%
  • @
    @dubais90184 years ago Asante kaka zitto kwa kuwafafanulia vizur hawa ccm vichwa maji. Wanajiamin kwa kutumia dolla pasi na dolla ccm haina uwezo wowote. 2
  • @
    @barakanun66524 years ago Ukimsikiliz mwanzo mwisho zitto utaelewa anachokisema. Lakin kam unaangalia misambwanda utaishia kubisha 2. 4
  • @
    @omakywazamani66964 years ago Dada yangu mwabiye sisi watu wa zanzibar tumechoka naukadamizi wabara tunataka tuwe huru bila tabia zao chafu wabara tumechokanao wallah sio watu wazuri lalaunono dada yangu. 3
  • @
    @selemanimashaka3714 years ago Anaye mtusi zitto ni muharibufu na piya hana uzalendo zitto anacho kizungumza nyeti kabisa. 8
  • @
    @michaelsamson96634 years ago Amebugi kuminya uhuru wa abali namikutano ya kisiasa. 6
  • @
    @maurancechuwa52354 years ago Nafurahishwa na kila usemacho. Big up brother, ifike mahala uzalendo uwe ni huru kwa kila mtanzania na sio kunyimwa haki ya kuzungumza. 1
  • @
    @nageplus32264 years ago Nami naomba nichangie hapo zito. Mi naona tatizo si kuiondoa ccm madarakani bali tunataka haki, usawa, uhuru na uwazi kwenye sekta zote na si ubabe uvunjwaji . ...Expand 1
  • @
    @leandrowilliam79564 years ago Ajawai ongea utumbo. Siku zote anaongeaga point. 6
  • @
    @allyrasi35154 years ago Kabla yauchaguzi tunataka tume huru kwanza.
  • @
    @daudisayi18944 years ago Nakukubali sana zito ila kwa uamzi wako umenikwaza tafuta wakukupa kula mwaka huu siyo mimi. 2
  • @
    @badmanno.16504 years ago Zuhurana ccm? Mbona unaegemea upande wao.
  • @
    @maryamambar99814 years ago Kawaida tuu ww wao sawa nyote wizii mtujuana wenyewe cc kimywa. 2
  • @
    @anuaryally61774 years ago Siku hadi siku zinavyokwenda sura inaondoka katika ubinadaamu inakuwa ya ngili sasa. 7
  • @
    @abdulrahmansalim97734 years ago Iyondeke miaka hamsini ya wizi na haramu. 2
  • @
    @danmsimamo25624 years ago Nakubaliana na ww zitto kwamba uchaguzi ukiwa huru na haki ccm tunainawa asubuh tu maan hatuitaki ccm. 5
  • @
    @allysaidy42804 years ago Et zitto ana mtoto? Na kama anaye wakike tukaanze naye hata kama yuko darasa la sita apewe mimba atajisikiaje?
  • @
    @tanzaniakwanza16994 years ago Zitto kawaulize usa kwa nini tuhuma za trumpna warusi? 1
  • @
    @officialmbeyaone35724 years ago Yaani uyu mpakaa mavi usoni angekua namtoto wakike mzuri mwana funzi mimi ningempa mimba. 1
  • @
    @kibwanakassim77494 years ago Dada kakuriza swari zuli sn kwann msimalizane ndan kuliko kutoka inje dada kakuona msalit. 6
  • @
    @heryfonda70604 years ago Watu weng wa ccm akili zaona mishipa ya mav kipi cha uwongo alicho sema. 1
  • @
    @gaudenciaalois47184 years ago Yaani umekaa kusema mtangoa ccm tu mnadhani jino hilo eh mtasubiria sana nyie bakini tu kutupa changamoto tu na sio kuingia madarakani. 1
  • @
    @jastonphilipo85324 years ago We dada mbona unahoji kama umetumwa zito mungu anakuona unajisema vibaya kuwa na akili unakuwa kama mtoto wakati wewe ni mkubwa.
  • @
    @juliasmtobesya50314 years ago Zitto umekuwa msaliti. Tunaomba hao watu wa huko nje wakufukunze nchini kwao na waukatae uongo unaowaeleza. Lakini unatakiwa upimwe akili pia.
  • @
    @mako3314 years ago Nchi nyingi zina upinzani, hata kenya wana upinzani tena mkali sana, ila sijawahi kusikia upuzi kama huu wakienda kwa mabeberu kuwalilia wale wakoloni . ...Expand
  • @
    @bashibashiphotographer38744 years ago Nikweli zitto hali ni ngum sana huku mtaan mikopo imetuvunja kichwa, m-pawa wamekua wapole sasa hivi, ndege hizo anapanda magufuli, na samia mimi naisikia tu halingum sana. 1
  • @
    @jtheophil54994 years ago Wakati nakua wazazi wangu walikuwa wakisema ukimuona mwanao au mtoto ,siri za ndani ya familia anakwenda kuzisema kwa jirani ujue uyo kidogo kichwani zimetenguka hapa ndo nnachokiona. .. ...Expand
  • @
    @suleimankhamis82984 years ago Unco zitto we hizo njuluku ungezichukuwa kwa jina lako haafu ukawatumia watu walioko nchi za nje manake haki ya rabi tumetoka vipara na mvi kwa madeni na bado zisingetosha kulipa madeni yetu. 1
  • @
    @macmillandauz95134 years ago Huyu jamaa anaongea pumba tu kwahyo yuko radhi wachache waliopata mimba kwa upuuzi kwa raha yao wenyewe wawaponze wengi wanaoteseka hawana mikopo vyuoni zitto think twice acha mmbo ya siasa kwa mmbo ya msingi. 1
  • @
    @mozaummy3274 years ago Maisha magum sana makufuli kufuli kweli manake hakuna pesa kabisa maduka yamefungwa yote. 1
  • @
    @ramadhansuluhuhassan70744 years ago Uhodari wa zito kabugi masuala zuhra yunus mengi anayolalamika ndio utekelezaji wa ilani ya ccm na yametekelezwa hofu ni fedha kutumika sivo sasa hao benki . ...Expand
  • @
    @hassanimbinga45974 years ago Sera za serikali ya awamu ya tano azilengi kuinua maisha ya kila mtanzania apo nmekuata. 1
  • @
    @muracarservice85014 years ago Wew umetumia dkk 16 kumsikiliza zitto unasma n muongo nakufananisha n mbwa mkoko wa krokoni. 1
  • @
    @anuaryally61774 years ago Hawa ndio wale waliopokelewa mwaka 72 sasa wamebadilika wanajiita watanzania na kuukana uraia wa asilia congo zaire.
  • @
    @estarjuma79834 years ago Kwahio unatetea wanawake mbona wako safi tu mtapata tabu sana hata ww ukipewa ndo mtayunyanyasa mabeburu nyie.
  • @
    @anithashembilu77324 years ago Mngepewa nchi mngefanya nini? Si mngeiuza? 1
  • @
    @ahmedelalawi61434 years ago Ccm hawaangalii nini kimesemwa wanaangalia nani kasema. Kuna wapumbavu wa chama cha ccm wanatoka majukwaani kutukana raiya wake wa tz na kutoa matusi. . ...Expand 1
  • @
    @godphreymaganga83344 years ago Hivi wewe zito umeona nchi gani africa au africa mashariki imeruhusu ujinga unaoutetea wa kusemesha wazazi ambao tukiruusu wazae itakuwa kila mtu anazalia . ...Expand
  • @
    @rehaniidd29694 years ago Mtu waweza kuwa na macho lakini huoni, masikio nausisikie, anaeoma hii nchi niya democrasia atakuwa hama akili.
  • @
    @dareenali60864 years ago Wenye akili timam watakufahamu
    na wasio kufamu
    ni wale asilimia 1%
    kwa sababu ndio walio nufaika. Nk.
    1
  • @
    @deodatusrwechungura9844 years ago Je kuna kijana anaempinga mr zito juu ya swala la ajira? 2
  • @
    @mpwapwamedia72794 years ago Hatuna njaa sisi kama kwenu kuna njaa ungetumia nauli ya kuongea upuuzi kuwalisha hao. 1
  • @
    @ceciliajimmy56524 years ago Mimi huwa sicheki sana ccm wanaposema " wataisoma namba " kumbe wao pia wanaisoma namba! Wanaotumbuliwa wote ni ccm, bado kidogo watajua maana ya kuisoma namba. Kwa hiyo baba zitto mungu awe pamoja nawe siku zote. 1
  • @
    @Rashidmhedhery4 years ago Mnasema tanzania ni tajiri! Mbona huo mkopo mmeukalia sana, au ni mbwembwe tu! 5
  • @
    @sarahgerald78254 years ago Aki ipo upinzani hamunijierewi we ni musariti. 2
  • @
    @dubais90184 years ago Wabane hasa wasipewe wakenda fanya kampeni mpaka disemba ndio wapewe. Hizo pesa sasa wasipewe. 3
  • @
    @jtheophil54994 years ago Tunataka kuona sura mpya bungeni. Tulia leta mgombea wa act mwingine na hiyo ndo itakuwa democrasia ya kweli. Wewe huna hati miliki ya uongozi. Toa fursa kwa vijana wenzio nao walitumikie taifa lao. Una uchu wa madaraka. 2
  • @
    @officialmbeyaone35724 years ago Ukishaona mtu aliweza kuamua kupaka mavi sura yake mwenyewe awezi kushindwa kupaka mavi nchiyake. 2
  • @
    @allysaidy42804 years ago Kumbe huyu jamaa sio mtanzania hana uchungu na nchi yake kweli ni mcongoman takataka tu mamayooo.
  • @
    @sariahamad56504 years ago Amani itawale tu ndcho tunachozidi kuomba, ay mengne acha yandlee. 2
  • @
    @allysaidy42804 years ago Kumbe zitto anaweza kuunga mkono ndoa za jinsia moja amepinda sana huyu jana nini anataka haswa zitto? 1
  • @
    @ashapearubart26244 years ago Kwahiyo wewe una watuma watoto wa bebe mimba. Ili wapate matunzo kutoka serikarini. Wewe kubali 2.
  • @
    @asadkissensi63284 years ago Nani kaona kama zito anasura mbaya kama nyani gonga like lako hapo kama umeona.