Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
#Habari #KtvTzOnline
Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online
Wasiliana nasi kupitia number
+255 625 323 932
Ktv Tz Online Journalists
cc: Sadia Rashid
cc: Juma Maulid
cc: Masoud Maganga
cc: Sauti
Video Zingine:
Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
- Ali Kiba akiwa Oman
/watch/gP9ye7QajQQay/watch/Y9mrg7gbcsMbr
@mwatumsaidi51044 years agoMausha unapata lakini madhalim ccm wanatumia dola kuzulumu alaisallah bihaakamil hakimin. 5
@
@rizikisalum96784 years agoKura yangu ishaallah yako baba panapo uhai na majaliwa. 3
@
@muhsinnainoabdullah15394 years agoHongera jembe letu kura yangu unayo baba hatuchoki kukupa kura zetu kwa sababu wewe ndio chaguo la wazanzibar wanokubeza awo ni wazanzibara kwa iyo sisi wazanzibara tunakujali na tunakuelewa baba. 1
@
@iddijumaali71924 years agoHongera maalim sefu tuko pamoja na wewe kwa asilimia 100 inshallah. 4
@
@allydaruweshi59834 years agoTutakuchaguw baba tupo naww hakun kukat tamaa. 3
@
@mtitimtiti3764 years agoThe day will come zanzibar to be free zanzibar. 3
@
@hamzaalonso61154 years agoNaam maalim bado tunakuhitaji na ishallah huu ndio mwako wako wa kuingia ikulu imarishine chama. 3
@
@amrozwhite10734 years ago2020 itapigwa goli la wapi marahii sema mwenyewe malim sef.
@
@salumjumaruhaga25134 years agoApo cha-cha, jembe limepata mpinj, wa mpingo. 1
@
@shabania333rajabu4 years agoPumzika mzee mwezangu huoni umri umekupita. 1
@
@khadijaa8154 years agoSi muvunje tu vyama vingi ibaki ccm tu yeshe. 1
@
@chidiboy58154 years agoWpi inshaallah ccm itashida kura yngu naipa ccm. 1
@
@mudhihirramadhan53874 years agoDuu hujachoka tu toka mwaka 199? Mpaka leo 2020 bado hujakata tamaa.
@
@ramdanram73874 years agoWe mzee pumzika tena hivo ulivyo bado unataka uongozi ni bora utulie mzee ulee wajukuu achana na mambo ya siasa. 1
@
@kassidpandu98064 years agoDuu mzee huna aibu chama hakina vijana?
@
@haidaromar20794 years agoYan huy jamaa hakat tama hii pole san ndung but ccm. 1
@
@suleimanally23974 years agoKyefule unataka kufukuzwa chama zito mfukuze huyo.
@
@zayyatiyussuf95664 years agoKura yangu naipa ccm chama cha ccm kidumu na 2050 kidumu. 3
@
@mhogomchungu71684 years agoHuyu mzee anatamaa kama fisi. Wazanzibari tuchague ccm tupate maendeleo.
@
@assleeali23024 years agoMaalim saiv kaa upande unazingua sana tushachok na wewe. Mamuzi yako ni ya uongo mtupu. 2
@
@tumabhay85764 years agoKakojoe ukalale we balahau huna chama huna sera huna kura huna madaraka. Ucpoteze muda bado unatamaa to nyangarikata pori wewe ushazeeka umebakia kichwa. ...Expand
Related videos for BREAKING: MAALIM SEIF ACHUKUA FORM YA KUGOMBEA RASMI: