Duration 16:28

Jinsi ya kudisegn cover photo kwajili ya kutengeneza audio spectrum on mobile

5 031 watched
0
120
Published 25 Nov 2020

Karibu K channel tz leo hii nimekuletea mafunzo mapy ambayo yanaelezea jinsi ya kutengeneza post au Cover kwa kutumia smartphone kwajili ya kupost kwenye mitandao ya kijamii au kutengeneza video nakazalika kama unavo ona kwenye video yetu Natumai utafurahi pale utakapo jifunza zaidi #k_channel_tz #jinsi #mafunzo #covers #Pixellab Tuna vipengele vitatu DESIGN Cover photo kwajili smartphone SPECTRUM Kuweka visualizer LYRICS Na kuweka Asante kwakunifatilia kwenye hii channel na hivo kama imekupendezesha channel hii basi unaweza kusabscraibu ili kupata notification zote kila tutakapo post mafunzo mapy asante HUSSEIN MOHAMMED ndio jinalangu Jiunge nasi kwenye mitandao ya kijamii 👤 INSTAGRAM ⤵️⬇️⬇️⤵️ https://instagram.com/director_kichu_21?igshid=m57k3vuepbaq 👤FACEBOOK ⤵️⬇️⤵️⬇️ https://www.facebook.com/profile.php?id=100053406280842 👍like ©️comment 🆓️Subscribe 🔀Share na wana _________________________________ Thanks for watching ✅ Asante kwa kuangalia

Category

Show more

Comments - 36
  • @
    @godblessgerard69142 years ago Safi sana mkuu, sasa app gani nzuri kuitumia ili kufikia kiwango chako? 1
  • @
    @centown362 years ago Alfu nimetegeneza kwa ava pro bona inakuja na ukubwa wa mb 188 au ni kawaida.
  • @
    @prodbeat49374 years ago Safi mzee nimekupata nduguyangu tuko pamoja. 1
  • @
    @centown362 years ago Kaka i' ve ukitegeneza cove ya msiki inatakiwa iwe na ukubwa gani.
  • @
    @phao-b062 years ago Kaka hizo pixellab zip nying ip ni sahihi.
  • @
    @ranveel_tz2 years ago Jesasa, kweny avee unaiwekaj hii picture. 1