Duration 12:12

CCM WATOA TAMKO KUMUANGUSHA MAKONDA KIGAMBONI/WENYE TAMAA TUNAWAKATA/ALIKUA NA MADARAKA AKAACHA

134 282 watched
0
546
Published 18 Jul 2020

CCM WATOA TAMKO KUMUANGUSHA MAKONDA KIGAMBONI/"WENYE TAMAA TUNAWAKATA/ALIKUA NA MADARAKA AKAACHA" #PAULMAKONDA #CHAMACHAMAPINDUZI #CCM #MAGUFULI #BASHIRUALLY

Category

Show more

Comments - 194
  • @
    @charlesnyanda16464 years ago Nionavyo mimi. Mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya ni mwakililishi wa rais katika maeneo yao ya uwajibukaji. Si muda mrefu ataingia katika kupata ridhaa ya watanzania kwa mara nyingine. Pamoja na kuwa pengine kuna katika kila dalili za kupata ridhaa tena, lakini kuwalazimishakuendeleleakatika nafasi za awali ni sawa na assumptions kuwa wabaki kumsubiri kumwakilisha tena atakapopata ridhaa hiyo. Mi nadhani hiki ni kipindi cha kila anayetaka kupambana aruhisiwe kupambana, ni likishapita hili la uchaguzi, safu itapangwa upya. Na hata huyo makonda akianguka kwenye ubunge bado awe na nafasi ya kurudia nafasi yake kama atakuwa bado anaonekana anakidhi. ...Expand
  • @
    @edwardmakonge33714 years ago Whyza wakuu wa mikoa na wilaya na wengineni haki yao, pili nafasi ya kutegemea kuteuliwa haiaminiki maana inategemea utashi ameamkaje siku hiyo. Mwisho mheshimiwa magufuri akishinda ndio itakuwa awamu yake ya mwisho. Sasa wateule wake wanajiandaa kisaikolojia ili kujiweka salama kisiasa, maana kiongozi ajaye baada ya magufuri atakuja na timu yake. Mimi ninavyoona waachiwe wagombee na wananchi ndio watakao amua. Kwani kupanga na kuchagua. ...Expand 3
  • @
    @mzeewamadodoso18164 years ago Makonda mwenyezi mungu akutetee nimeamini unakipaji kikubwa na unapendwa sana ndio maana wenye wivu wanateseka. 6
  • @
    @stephanokanyika63214 years ago Mimi sio mwanasiasa lakini nina maoni haya makonda ni kiongozi mzuri ndio maana hata mh. Rais inamuuma sana hili hila kama hatopita kuwa mgombea ubunge . ...Expand 4
  • @
    @nazarenajoseph26954 years ago Tunashukuru katibu mkuu lakini watu wanajisahau kutenda haki mungu awasaidie. 2
  • @
    @salumjumaruhaga25134 years ago Apo chacha kazi ipo, m, mungu ibariki tanzania.
  • @
    @eliaskyejo4 years ago Safi sana ni maneno ya kujengq sana kwa watia nia.
  • @
    @kimsaid76434 years ago Acheni kumwandama makonda sisi tumeamua akipitishwa tu huyo ndio mbunge wetu over. 19
  • @
    @khadijacharles24334 years ago Jamani acheni kimuandama makonda, aya wapi kaongelewa he sasa tutamchagua makonda kigamboni kwa kishindoo. 1
  • @
    @charlesmpemba93874 years ago Mbona mnamuongelea sana makonda wakati rais hajamuongelea? 3
  • @
    @awadhirajabu68334 years ago Makonda nimtanzania yuko na aki ya kugombea cheo chochote kikatiba makonda yuko vizuli agombee na kama ubunge ataupata mchana kweupe ndani ya jiji la dar. 3
  • @
    @dicksonaroka69614 years ago Du mkuu wangu wa mkoa tulitamani sana kukuona bungeni sisi kama wengne huku chini lakin kwa maneno haya itoshe tu kusema mh. Ingawa itatuumiza sana kwakweli kama watakukata jina.
  • @
    @johanesjohn84714 years ago Wakati ukifika umefika, time ya makonda imefika so tumwacheni ang' are. 6
  • @
    @husseinkarim67454 years ago Elewa mnafanya makosa ndio watu kwenda chama kingine. Inabidi mpe kila msaada ashinde. Kuna wengine watachukua nafasi zao. 2
  • @
    @constanciapeter24974 years ago Madaktari bingwa nao wanachukua fomu. Hatimaye tunaelekea kukosa hawa watuu. 1
  • @
    @dnaofgodtv48734 years ago Hulka yakehamkujua anatokaje ss gap limepatikana, anaponaje?
  • @
    @timothalex32494 years ago Mwacheni makonda afate moyo wake mbna kila kinachosemwa mnamlenga makonda. 7
  • @
    @samwelhiinyamhangahiileosi10604 years ago Nyie ccm acheni kumsakama makonda amefanya kazi kubwa sana mpeni haki yake. 1
  • @
    @salumabdallah28564 years ago Kugombea ubunge ni haki ya kila mtanzania. Bila shaka yeyote atakayeitishwa ktk kura za maoni kama hatokuwa na makando kando atapitishwa kupeperusha bendera ya chama chake.
  • @
    @edgarmbehikya81504 years ago Kumbe bashiru hujanizidi sana. Hata mi kwenye kata yetu mtendaji alikuwa hivyo akishirikiana na bwana afya. Enzi hizo sijaziona tena. Sasa hivi unatembea nyumba kadhaa hazina chanja za vyombo. Umenikumbusha mbali bashiru.
  • @
    @jacobmigera26264 years ago Wana nchi tusimame kwa pamoja tupinge kiwango cha mishahara na posho wanazo pokea wabunge; kama kweli niwazakendo na wanawapambinia wana nchi wao wawe . ...Expand 21
  • @
    @phonesphone4014 years ago Ni kweli huwezi ukaacha cheyo kama kile aha hii kweli ni tamaaa.
  • @
    @nehemiaisakwisa86044 years ago Punguzeni mshahara wa wabunge ili watu wauone usawa. 2
  • @
    @erodeshayo86724 years ago Kwanza hii video katengeneza huyu alikua anaongea hii ishu akiwa amekaa kwahiyo nyie acheni ushenzi huu tafuteni habar sahihi mtafeli bora mngetoa sauti tu ikaskika dah. 5
  • @
    @sheryphamwenevalley61244 years ago Kubwa lililopo mpk muda huu linalojiri itakuajemamilion wakati watu muhim km. Madoctor waalim marubani mishara midogo, ss lazima wayia nia waongezeke kila mtu anataka pesa, na iweje kwenye ubunge kuwe hakuna ukomo huo ni kubebaba, watu wamestuka ndio mana watu wengi wanataka kuingia bungeni kupiga pesa. ...Expand
  • @
    @roselugendo69434 years ago Mwacheni makonda atimize ndoto zake. Cheo cha ubunge ni cha tofauti, unachaguliwa na wananchi, cheo cha heshima. Mkuu wa mkoa unachaguliwa na watu wachache, . ...Expand
  • @
    @EngRoby-xh2kq4 years ago Mbona hakuna sehemu kamwongolea makonda?
    mwache apambane ni haki yake.
    hacheni kumwandama makonda bwana.
    23
  • @
    @wazirhaji69134 years ago Tusiwe km mbuzi kutaka majani yambali na wakati alitakiwa ale majani ya karibu kwanza baadae itafika wakati atakwenda kufungwa kwenye yale majani atayoyataka atayala kwa utuo bila wasi.
  • @
    @jenyyusuph49734 years ago Mmemtia kijicho sijapenda mme wababaisha wapiga kula.
  • @
    @mathamwamwaja36984 years ago Huu ni uchu wa madaraka, watanzania turidhike na vyeo vyetu jaman. 1
  • @
    @jamilasaid27184 years ago Walimu wote wa kigamboni watampa kura za ndio kama wanajua kulipa fadhila. Kawaokoa nauli za kila siku kwenye daladala.
  • @
    @salumjumaruhaga25134 years ago Posho tu ya siku tatu ni mshahara wwa mtu, bado mshahara wa mwezi.
  • @
    @martinesizya2344 years ago Hii video mmeedit, maneno na picha viko tofauti, mwacheni makonda afanye yake, acheni wivu, mnaroho mbaya sana, waliotia nia ni wengi mbona makonda tu kila siku, acheni ujinga. 3
  • @
    @japhetdaud37814 years ago Jamaani wana ccm, makonda kama alipngoza majimbo yoote dar, kigamboni itakuwa hon kong ya bongo.
  • @
    @allimsafari48964 years ago Hii ni haki yao kikatiba kwa hiyo waachieni wananchi waamue ni yupi wanamtaka vinginevyo mkawakata walio chaguliwa na wananchi mjue mtapoteza majimbo na . ...Expand 3
  • @
    @nehemiaisakwisa86044 years ago Kumbuka kikwete tokea 1995 alikua anataka uraisndoto yako hakuna anae weza kukuotea ni bora makonda ameonyesha kua hajali kupoteza cheo lkn anajua ninini anatakiwa kukifanya maana kila hatua ni njia.
  • @
    @kajembekimata67824 years ago Maana inamaana kwaasiyejua maana ya maana!
  • @
    @mashramadhani19894 years ago Makonda kiongozi shupavu na anaweza kabisa kuwa mbunge imara. Mm nitawaona ccm imara sana mkimteua makonda kwa maslahi mapana ya maendeleo ya taifa. 7
  • @
    @habibamhina90754 years ago Makonda tunakuhitaji sana kigamboni, wewe unaelewa mahitaji ya watu, mungu akunyooshee njia, tumechoka kuchagua watuhospital hazina madkitar katika jimbo lake yeye anapeta na kuijenga maghorofa yake, viongozi acheni kumsakama makonda, ni haki yake, kuchagua na kuchaguliwa. ...Expand
  • @
    @imeldakahyoza22254 years ago Usiogope pambana naba nafunga kwa kusali. Mungu akupe wepesi.
  • @
    @hamismgogo54234 years ago Hii vidio ni ya kubambika haiendani na sauti acheni usanii.
  • @
    @kelvinmtavangu82994 years ago Jamani, rusheni clip sahihi. Mbona hivi. Kwanini kumtaja aliyekuwa mkuu wa mkoa kuchukua fomu. Mwandishi aseme ukweli. Rekebisha hili. 3
  • @
    @kosovoawadh17714 years ago Sisi wannchi wa kigamboni tunamtaka makonda sana tunampa miai kwa mia muacheni.
  • @
    @abdulkhamis11704 years ago Makonda haki yake muacheni apambane hatimize ndoto yake.
  • @
    @omanseeb86094 years ago Namuombea mung apite ubunge na aje awe raisi anafaa sana tutapata maendeleo na tutakula bata. 1
  • @
    @wazirhaji69134 years ago Tatizo lao wanatamaa ya madaraka makubwa haraka
    ustaamilifu wako ndiyo mafanikio mazuri kwako.
  • @
    @charlesmpemba93874 years ago Yani sisi tupo tayari kuandamana kigamboni msipomteuamaendeleo sasa. Najua akipitishwa 99% atachaguliwa. 2
  • @
    @imeldakahyoza22254 years ago Wanaojitambua watampa kula za kishindo. Maana huyo ni mkombozi. Mimi nampenda maana kama sio yeye mateja wangekuwa wengi. Mungu akupe wepesi makonda usiogopee.
  • @
    @khalidballeth59574 years ago Wahenga walishasema
    " usipo sikia la mkuu.
  • @
    @nichorausrichard34694 years ago Kwan makonda kakosea nn sasa mwachen anakubalika.
  • @
    @eneamligo79194 years ago Makonda anafanya kazi vizuri mpitisheni jamani.
  • @
    @hamidsalim34484 years ago Mh Katibu. Nakupongeza sana juu ya khotuba yako. Ninaomba nipate mawasilano yako Nina mawili matatu niongee na wewe juu ya mwanachama mmoja ambae sii muadilifu. Mimi salim.quraish55@
    Nikutakie kazi njema ktk ujenzi wa Chama.
    ..
    ...Expand
  • @
    @mulangilakabwarebenson51284 years ago Kua kiongozi sikulenga mshahara
    iyi ndio tatizo la afrika kutajirika mapema bila kukomaa.
    ccm haijatenga mtu ila nilazima viongozi watambue kwamstari wa mbele sheria inasema nin.
  • @
    @ommygoldene36364 years ago NAOMBA NIKUALIKE
    Habari naitwa Hero msanii wa muziki naomba nikualike kutizama na kusapoti video ya mziki wangu mpya nao uzindua leo rasmi kwa ku SUBSCRIBE naomba SUSCRIBE yako shabiki wangu GUSA hapa kuona .. ...Expand
    1
  • @
    @saidali43714 years ago Huyu mtoa post msenge sana maana hii clip haindani kabisa na hayo. 2
  • @
    @matukiosafaris65084 years ago Mwacheni makonda ana haki ya kugombea na tunamwihitaji kigamboni.
  • @
    @magangamdogo33014 years ago Ivi wa tanzania mtabadilika lini? Wanna ccm mbona sasa mnakua nakelo mtu anapo kose msihukum kwakosa hilo muangalieni huko anapo toka kafanya mema yepi hamtaki kuangalia mna shikili kosa tu nakuhukum ndonini sasa.
  • @
    @clevermngao75654 years ago Mamlaka ya mawasiliano tanz fuatilia baadhi ya mitandao inayotoa habari za uongo/ fake! Clip hii haiendani kabisa nahapa!
  • @
    @josephmasawe35884 years ago You tube is doing well in dissemination of information to their customers.
  • @
    @emmaticopetro11584 years ago Hapa anawaambia watu wote siyo makonda tu, sema makonda amekuwa gumzo.
  • @
    @stephanomtatiro62214 years ago Huku kwetu biharamulo wamelamba hela njoo mwoene.
  • @
    @ukk97984 years ago Mti wenye matunda unapigwa mawe, huo ni wivu tu. 1
  • @
    @polebugalama91794 years ago Nyinyi makonda hammfahamu niulizeni mimi tawaambi a-z.
  • @
    @erickmageta5044 years ago Tuachani kuchokonoa haki za kidemokrasia.