Duration 7:42

KUTOKA ARUSHA NYUMBANI KWA BILIONEA WA MADINI ALIYEFARIKI SOUTH AFRICA

173 274 watched
0
740
Published 13 Aug 2021

Taratibu za mazishi ya bilionea wa madini ya Tanzanite Mathias Manga zinaendelea nyumbani kwake maeneo ya Ngarenaro jijini Arusha baada yakufariki nchini South Africa alipoenda kwa ajili ya matibabu. Ayo TV imefanikiwa kufika msibani ambapo imezungumza na ndugu wa marehemu pamoja na Dereva wake. "Kwakweli tumepata janga kubwa sana, nimekuwa dereva wake zaidi ya miaka kumi na hata wakati anapata matibabu tulikuwa wote Lindi na tukaja mpaka Dar nikamuacha Hoteli baadae nikampeleka Airport kwaajili ya kwenda kufanya Matibabu sikujua kama ili litatokea"- Dereva wa Bilionea "Tutamkumbuka kwa mengi mazuri ambayo tumeshirikiana nae"- Dereva wa Bilionea

Category

Show more

Comments - 155