Duration 7:1

Ma INJINIA wa WAZIRI AWESO WAINGIA kwenye 18 za WAZIRI JAFO, AWAFOKEA - MIMI ni MKOROFI HAPA

4 978 watched
0
19
Published 24 Dec 2021

Ma INJINIA wa WAZIRI AWESO WAINGIA kwenye 18 za WAZIRI JAFO, AWAFOKEA - "MIMI ni MKOROFI HAPA" Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Suleiman Jafo, amewataka wananchi kuepuka shughuli zinazoathiri mazingira kwa kuwa ni kichocheo kikubwa Cha mabadiliko ya tabia ya nchi. Waziri Jafo ametoa Rai hiyo wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma wakati akikagua utekelezaji wa mradi wa kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, ambapo amesema miongoni mwa shughuli hizo ni ukataji wa miti. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: /playlist/PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: /playlist/PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 4