Duration 26:22

Lamata Leah afunguka kuhusu alivyoisuka tamthilia ya Jua Kali, Dorah, penzi la Kajala na Harmonize

31 176 watched
0
343
Published 22 Feb 2021

Sehemu ya pili ya #ChillnaSky, Lamata Leah anaeleza alivyoisuka tamthilia ya Jua Kali pamoja na mambo mengine

Category

Show more

Comments - 71
  • @
    @hamedabashir93 years ago Mie pia napenda sana hiyo kityu inshallah ndoto yangu itatimia inshallah kher. 7
  • @
    @rahmaluziga48213 years ago Very bright woman ooh lord bless more and more this woman. 2
  • @
    @priscahzebedayo29173 years ago Dada nakupenda zaid ckuwa najua sura yako ila jina kubwa. 4
  • @
    @aoman52143 years ago Dah pole sana dada na hongera sana kwa kujituma dada. 1
  • @
    @mwanaharusially11 months ago Nakupenda sana mwanangu mungu akulinde akufanyie wepesi.
  • @
    @francesmpangwa88012 years ago Sister uko vizur sana mungu akubariki saana.
  • @
    @agneschukulukwa15193 years ago We kiboko umechukuwa vikoi umeshona dela vizuri, nimependa sana. 2
  • @
    @abedkirway86683 years ago Kaz zako nzur san dada ila sikuwa nakujua kwa sura jina lako kubwa nilikuwa nalijua. 4
  • @
    @evedianasaile68113 years ago Mm nastory naweza tukaungana nikakupa story ya maisha pengine ikawa nitamthilia.
  • @
    @habibtyhabibty8403 years ago Namii naanza kupenda uigizaji nahisi naweza. 1
  • @
    @suzanakipanga7033 years ago Lamata huko vizuri sana dada nakupenda sana tu namba zako za simu tunazipata wapi? Na mbaye anazo basi tusaidiyane jamani. 4
  • @
    @olivanooraladin54362 years ago Lkn livomfanya frenki akanyoa kawa handsome manshahlla.
  • @
    @ignasbukombe92253 years ago Cast nyingine ni noel ndale lamata leah. 2
  • @
    @hassansaul7098last year Ni kweli aliposema madam, dairiketa mzuri ni yule ambae anapenda kuona kitu chake kinaenda vizuri.
  • @
    @joycelucas37410 months ago Jaman dada m nakupend sana naomba namba ako please mmi naomba namba ata we mwandishi nisaidie tafadhal namba ake.
  • @
    @winfridadominancy34923 years ago Leo umesema kwakilefu jina lk ndio nikakufaham nakusikia mda mlefu toka nikiwa mdogo watu wawilayan kwetu walikua wakijivunia kua nakijana mtangazazi kalibu kwimba tena. 1
  • @
    @themagadir3 years ago Mimi naulizia vipi season 2 ya kapuni? Jamani nimei miss sana i miss scene ya uncle robert and the young boy. 3
  • @
    @stevenabraham3165last year Maliz movie tumechoka lamata visa haviishi.
  • @
    @dama49953 years ago Mm nauliza kuhusu kapuni ndo iliixha ama vp.
  • @
    @happinessalum80633 years ago Lamata ni motoo i wish one day nitafanya nae kazii. 8
  • @
    @beautyibrahim84283 years ago Ata mm huwa najiuliza kwann yupo karibu na dorah sanaa umeniulizia swali langu. 1
  • @
    @mrsliverpool42353 years ago Sky niunge nifanye nae kazi jamani nampenda sana. 3
  • @
    @montanaprime3 years ago Kwenye hilo scene ya mahindi kukatwa, kweli drone shot was the appropriate one, yani niliumia utadhani mahindi yalikuwa yangu vile. Hongera sana. 2
  • @
    @khasamentertainment42693 years ago Haha wacha nicheke yani sisi tunaofanya filamu tunapata tabu sana hususan uwe dierector duuh kulia kawaida tu maana unafika mudahususani ukiwa makini na kazi yako. 3
  • @
    @saraenock76003 years ago Uwiii jamani we dada nakupenda sana nawish nkikutana nawe nawaka. 1
  • @
    @daynegallis89263 years ago Kwani jamani kuna anaejua ofisi yake huyu mama ya lamata village intertainment?
  • @
    @msowamhokole77143 years ago Masako kaishiwa ndio maana umempata kiulaisi.
  • @
    @safiyatheonlything78483 years ago Tuliyo nje mtuangalie kwa jicho la tatu mtuwekee youtube. 1