Duration 5:26

RAIS SAMIA MENEJA HUYU WA TARURA JEURI KIBOKO/MBUNGE SENGEREMA AMKATAA MBELE YA MKUU WA MKOA MWANZA

1 012 watched
0
6
Published 21 Dec 2021

#mwanza #maendeleo #ujenzi #barabara Bodi ya barabara ya mkoa wa mwanza imebainisha hali ya mtandao wa barabara za mkoa huo ambazo zimefikia kilomita 1143.81 wakati wakala wa barabara nchini wakipokea fedha shilingi milioni 622 kutoka serikali kuu huku wakitengewa bilioni 3.6 na wakala wa barabara mijini na vijijini wakipokea bilioni 3.5 wakitengewa shilingi bilioni 24.5. Hayo yamebainishwa katika kikao cha kwanza cha robo ya kwanza na ya pili ya mwaka wa fedha 2021/2022 cha kujadili taarifa ya utekelezaji kazi na matengenezo ya barabara na miradi ya maendeleo na fedha ambazo tayari mkoa wa mwanza umekwisha pokea kutoka serikali kuu.

Category

Show more

Comments - 2