Duration 4:7

Tazama jinsi Rais Magufuli 'alivyowabana' TANESCO Ikulu

3 111 watched
0
16
Published 13 Jun 2019

Awahoji ni namna gani wanawasaidiaje wabunifu wadogo wa kufua nishati ya umeme nchini. Wenyewe wakiri kutotoa msaada na kukiri uwezo wa kufanya hivyo wanao.! Rais Magufuli amewahoji watumishi hao wa TANESCO kufuatia mkutano wake na wabunifu wa mitambo midogo ya kufua umeme kwa kutumia maji ya mito mkoani Njombe uliofanyika Ikulu, jijini Dar es Salaam. #JPMIkulu #Wabunifuwanishati #AzamTvUpdates #AzamTVApp #UTVHabari #UFMRadio #AzamTWO

Category

Show more

Comments - 5