Duration 40:53

TAREIKH YETU MSIMU WA KWANZA (SILSILA 9): Nyakati na Maisha ya Sultan Barghash bin Said - Part 3

4 213 watched
0
42
Published 11 Jul 2020

Mara tu baada ya kurudi ziara yake barani Ulaya, mataifa yale yale aliyodhani kuwa ni marafiki zake (Uingereza, Ufaransa na Ujerumani) yakaanza rasmi vitimbi vya waziwazi kuitwaa na kuitawala Dola ya Zanzibar, jambo ambalo lilimuuma mno Sultan Barghash na kusababisha mauti yake ya mapema.

Category

Show more

Comments - 15