Duration 5:27

HATARI.. Shuhudia 'Chama' na 'Miquissone' walivyopewa mazoezi maalum

58 167 watched
0
196
Published 1 Apr 2021

Baada ya kutoka kuzitumikia timu zao za taifa viungo wa Simba SC Chama na Miquissone wametua leo na moja kwa moja kujiunga mazoezini na wenzao lakini cha kushangaza walitengwa kwa kufanya mazoezi pekee yao yaliyosimamiwa na kocha wa viungo wa klabu hiyo.

Category

Show more

Comments - 30