Duration 14:40

Ukweli kuhusu tatizo la BP na matibabu yake

49 503 watched
0
749
Published 4 May 2020

Kupitia video hii unakwenda kujifunza kwa kina kuhusu tatizo la Presha na jinsi ya kujitibia tatizo hilo ukiwa nyumbani kwako. .......................................................... Contact Us : +255676298270 ------------------------------------------------------------------------------- E-mail : toptenherbs@gmail.com ------------------------------------------------------------------------------- Instagram https://www.instagram.com/toptenherbs --------------------------------------------------------------------------------- Facebook https://web.facebook.com/toptentanzania --------------------------------------------------------------------------------- Website https://www.topten.co.tz -----------------------------------------------------------------------------------

Category

Show more

Comments - 189
  • @
    @rosemarry12742 years ago Hello doctor, thanks for sharing wonderful recipe. Am praying for u.
  • @
    @CatherineKabelege-te3yo7 months ago Docta mm nakupenda sana natamani kila siku niwe nakusikiliza.
  • @
    @maalimhussein88074 years ago Allah akufanyie wepesi katika kazi zako na akupe umri mrefu wa afya njema kabisa. Aamin. 14
  • @
    @fatmaissa83434 years ago Nashuru sana kwa ushauri na tiba zako nzr. Mungu afya njema nguvu na akupe moyo wa upendo. 6
  • @
    @lucymkenda40224 years ago Asante sana kaka endelea kueleza somo zuri sana. 3
  • @
    @rizikinash82214 years ago Asante, kakanaikubali sana, sasa nikohatakama, hawasemi. Asante. Nilikuwa, natatizo, la. 1
  • @
    @chrispinamgala78164 years ago Thank for your nice health education b blessed. 1
  • @
    @aminahussein63034 years ago Dr samahani mimi matiti yananiuma sana. 5
  • @
    @jonaskitiga91914 years ago Ni nini chanzo mapigo ya moyo kwenda mbio?
    nini matibabu yake.
    16
  • @
    @laurentkabembo69423 years ago Asante sana docta. Mungu pia aku bariki.
  • @
    @kawtharalbarwani13372 years ago Asante doctor kwa mafundisho wakakat mungine tunaogopa tunaona ni ugonjwa.
  • @
    @emanuelnonko8980last year Asante sana brother naamini kazi unayoifanya ni ya mungu amekutuma kuokoa jamii ilofungwa kwenye utumwa mbaya sana wa madawa ya kemikali yanayouhalibu . ...Expand
  • @
    @marynjenga4803 years ago Thank you daktari. Please teach on how to treat ugonjwa wa kisukari naturally. Looking forward. Thanks. Napenda mafundisho yako. 1
  • @
    @kuruthumushabani9535last year Asante san doctor leo umenipa nguvu mpya.
  • @
    @timeomar4422last year Asante mkufunzi umenipa nguvu allah akufanyie wepesi mambo yako.
  • @
    @mankasindato78963 years ago Duu. Asante dr. Hii wengi tunaharibu hapoo. Ila ili la kulalahuwa na mimi malipendaga bila kujua kumbe nina pataga tiba.
  • @
    @marrychelesi5742 years ago Asante sana doctar naanza sasa hivi nitaleta mrejesho.
  • @
    @melinafesto56864 years ago Hongera sana doctor nimekuelewa sana mungu akubariki sana. 3
  • @
    @vascobenedict4884 years ago Asante sana doctor mamdogo wangu amesumbuliwa na vidonda vya tumbo pamoja na presha kwa miaka zaidi ya saba, baada ya kupata somo hili nikamwelekeza atumie . ...Expand 10
  • @
    @lacksonmwakanema67993 years ago Asante mtaalam, nimekuelewa sana. Asante sana.
  • @
    @salomeomashibo19713 years ago Hongera sana kuniondolea hofu barikiwa.
  • @
    @sadikielkombe91173 years ago Ahsante sana kaka rashid kwa elimu unayotoa.
  • @
    @amadirispa83824 years ago Asante sana muunguzi kwa mafuzo yako game nipa moyo sana ubarikiwe kwa wingi karibu.
  • @
    @naiisrael29532 years ago Asante sana mno. Mungu akubariki sana.
  • @
    @hebronsdaughter16613 years ago Duh asante sana hakika umeokoa wengi barikiwa.
  • @
    @neemanavaranaa46724 years ago Je izi vidonge vya ferrous sulphate + folic acid table kwa mjamzito vinasaidia nn na vinamadhara gani please dr. 2
  • @
    @godwinmwasamila5337last year Njooni ni kweli maji siku tatu ni kiboko siku ya pili tu miujiza unatokea imani bila matendo imekufa,
  • @
    @segolinetingo29164 years ago Mi dr nina pressure ambayo juzi nimepima ipo 152 kwa 110. Mwanzo ilikuwa mpk 280. 6
  • @
    @COMEDYMPYATV2 years ago Habari za saiz doctor, mbegu ya parachichi unaweka kiasigani kwenye uji na unachaganya kwenye uji wa ulezi au wa unga wa mahindi pia sukari unaweza ukaweka.
  • @
    @mickyomary52154 years ago Asant dr hakika wewe nimkomboz wawatu mungu akubariki. 2
  • @
    @alisaid32513 years ago Napenda sana kuskia pressure, kua c ugonjwa. 1
  • @
    @zulfahzubeir53102 years ago Jaman mm presha yangu hailewek mara juu mara chini haielewek kabisa. 1
  • @
    @neemanyomeye34053 years ago Asante sana kwa kukutufanulia maana hata mimi nina tatizo hill.
  • @
    @ntakiruta41604 years ago Asante sana doctor, kila kitu chote unakifahamu! Ongela sana.
  • @
    @annefidelis69314 years ago Dr tunaomba utuambie nini tiba ya menopause? Lile jasho linatibiwa na nini lipungue? 1
  • @
    @janetndanu70774 years ago Doctor hio dawa ya kuweka kwa uji nitaweka kiasi gani?
  • @
    @felisterlyanzile80374 years ago Doctor ubalikiwe sana maana naelimika mno.
  • @
    @franciskajessy44682 years ago Wewe ni dr mzuri wengine wanaogopesha unaelezea vizuri. 1
  • @
    @careencharlescharles97494 years ago Kweli kabisa hata mimi nilipata ya chini na mwili wangu mdogo sana nikapewa dawa za kuongeza damu uko sahihi.
  • @
    @naomijovin69602 years ago Doctar samahn me nina shida ya kushi2ka shituka h inasababisha na nini?
  • @
    @joyel49542 years ago Shukuran doctor, tusaidize namba zako kwakweli.