Duration 6:18

Mseto wa wali maharage ya nazi/ coconut rice and beans / pilau la maharage /how to make

15 449 watched
0
103
Published 31 Mar 2021

Karibuni kujifunza namna rahisi ya kupika wali maharage ya nazi au pilau la maharage kama wengi wanavo lifahamu. Mahitaji. Mchele nusu na robo Maharage robo Carrot 1 Swaumu kijiko 1 Vitunguu maji 2 vikubwa Tui la nazi vikombe 2½ Curry powder kijiko 1 cha chai Iliki kijiko 1 cha chai Chumvi kwa ladha Mafuta ya kupikia Ingredients. Rice 3 cups Beans 1 cup Carrot 1 Garlic 1tsp Onions 2 Coconut milk 2½ cups Curry powder 2tsp Cardamom 1tsp Salt to taste Cooking oil NB: coconut milk ratios might vary depending on the type of rice you use Angalizo: Wingi wa tui unaweza badilika kulingana na aina ya mchele unaotumia. Enjoy Music: Salty People Musician: Summer Soul

Category

Show more

Comments - 16