Duration 10:00

Hawa ndio PLATEAU UNITED: Ubora Wao, Udhaifu, Mifumo, Mbinu na Uwezo wao Dimbani.

73 676 watched
0
255
Published 13 Nov 2020

#PlateauUnited #CafChampionLeague #Uchambuzi TANGAZA NA SOCCERDATA KWA BEI NAFUU: Tangaza Nasi ili uweze kuwafikia Mamilioni ya Watu kwa Wakati mmoja. Kwa Mawasiliano: PIGA: 0710 679 388, WhatsApp 0742 679 388 Email: sekwaomwendi24@gmail.com, P.O BOX 60 Gairo, Morogoro. JE UNGEPENDA KUI-SUPPORT SOCCERDATA? Kwa wewe ambaye Ungependa Kuichangia SoccerData kama Sehemu ya Kuisapoti ili iendelee kukuletea Uchambuzi wa Kina na wa kiufundi zaidi, Unaruhusiwa kufanya hivyo kama sehemu ya kutuunga Mkono. MCHANGO WAKO NI MUHIMU KATIKA KUKULETEA UCHAMBUZI BORA ZAIDI. ICHANGIE SOCCERDATA KUPITIA: TigoPesa: 0710 679 388. BARIKIWA SANA. Tazama Playlist za SoccerData zenye video zote: 1. Habari za Simba: /playlist/PLLH5fYDlRTrLBhBC4TtRZOL950O4LKPcR 2. Habari za Yanga: /playlist/PLLH5fYDlRTrK9xowD9th9XEXndCG-wleh 3. Habari za SoccerData: /playlist/PLLH5fYDlRTrJNqJ5hm-2ciTDDOytLsWAS 4. Stori za Soccer: /playlist/PLLH5fYDlRTrJLvsf_h0SV8wt1osZaELmD Tufuate katika kurasa zetu za Mitandao ya Kijamii Facebook: SoccerData Instagram: SoccerData_Tanzania

Category

Show more

Comments - 67
  • @
    @rehemambwanji16464 years ago Mungu atusimemie kinacho takiwa maarifa zaidi. 1
  • @
    @ironmantz34534 years ago Ww ujawai kufer kwenye uchambuzi wako nakukubali sana. 2
  • @
    @mohdhakim82164 years ago Tunashukuru kwa uchambuzi mkuu. Nafikiri ujumbe unaweza kuwafikia ili kuto kuwatia huzuni wapenzi wa timu yao na mashabiki kwa ujumla. 1
  • @
    @mirry52444 years ago Simba nguvu moja simba 07 plateu 01 utanitafuta mechi ikisha simba wanashinda kwa kishindo cha kihistoria haijawahi tokea, thanks a lord! 2
  • @
    @allymachanokeis37644 years ago Kuchomoka au kutochomoka,
    ni allahu aalam.
    1
  • @
    @abduyusuph94104 years ago Acha mbwembwe hawa jamaa ni wepesi sana.
    yaani tunawapiga nje ndani.
    1
  • @
    @BenMula3114 years ago Kwajinzi ulivyo chambua kabisa wafate simba uwape na mbinu hiyo itakua kizazi sana ila we mkali. 1
  • @
    @bevanny93894 years ago Hawa plateau simba atawapiga nje ndani. 2
  • @
    @BigDreamsWorldwide4 years ago Dah nataman sana hapa angekuwa anapita sven pia. 4
  • @
    @cosmasthomas91644 years ago Daa bro ww ni chuma yaani unawapa watu kile wanachokitaka kwa wakati wanaoutaka. Safi broo. 2
  • @
    @kriegerfrieden4 years ago Nashauri uwe unafanya uchambuzi hata mechi za ulaya.
  • @
    @shukranbanige93784 years ago Hapo wata chomoka iwapo tim ita cheza kwa ushilikiano. 1
  • @
    @houstonulomi67204 years ago Uchambuzi mzuri lakin uliposema mabeki wa simba hawana speed hapo ndo ulipoharibu pascal wawa ni moja wa cb wenye speed tena mwepesi kwenye turn ya haraka . ...Expand
  • @
    @chobachoba41714 years ago Simba wakifata maerekezo yako wanaweza kuchomoka kbx.
  • @
    @mwalimally4 years ago Wale tuliokuja ukurasa huu baada ya mnyama kufanya yake gonga like hapa. Ila jamaa asilimia kubwa ni vile ulivyo chambua nilibata bahati ya kuangalia katika . ...Expand
  • @
    @alhimnamussasaid36194 years ago Asantee sana soccer data kwa uweledi mzuri wa uchambuzi inabidi simba waupitie vizuri uchambuzi huu, hawa jamaa ni wazuri sana simba wajipange sana kuwatoa . ...Expand 4
  • @
    @rithamalyagili31304 years ago Mungu ibariki pletue ipate ushindi tu ili nipate furaha naamini pletue lazima wapate ushindi.
  • @
    @zabronnkoy31674 years ago Uchambuzi umenifanya nianze kuogopa kwa sababu ya huyu kocha tulienae. 2
  • @
    @victorynyenza56664 years ago Tunapaswa kujipanga kimbinu sio kiushabiki ili tusonge mbele. Jamaa ni wazuri. 2
  • @
    @simonjustin59214 years ago Hawa jamaa nimewafuatilia wanacheza mpira wa kuonana, yaan wanacheza pasi nyingi na wanauwezo wa kumiliki mpira, watu hawawajui tyu hawa jamaa wakileta zarau kwa kufata rcord zao kimashindano watafeli, mchambuz kaongea fact kabsa jamaa wanajua, kwahyo simba ikaze kweli wasibweteke kwa kuona kuwa ile ni timu changa, ndyo ni changa jina lkn sio timu ya kubeza ata kdgo. ...Expand 2
  • @
    @samuelleonard15324 years ago Mimi hasan juma ni mshabiki simba hadi dak 90 ndio zita amua nani mshindi kikubwa tuiombee timu ipate matokeo mazuri asanteni mungu ibariki simba. 1
  • @
    @jabilyjuma6134 years ago Itategemeana namfumo wa mocha wasimba ataingiaje has a wapinzani wake naomba kocha wetu akiandae vizuri ku to kana nawapinzani warinyo. 1
  • @
    @mohamedymwaim42844 years ago Tutaona mengi safari hii ambayo hayajawah kutokea tz, mechi mbili magoli 18, yani ni hv plateau 9 simba 0. Simba 0. Plateau 9. Nitakuw makin kuhesabu mikimbio ya onyango na wawa.