Duration 4200

Hakiki &Chukua Tahadhali Usajili wa namba zako za Tigo ulizosajili kwa namba ya NIDA TigoPesa App

395 653 watched
0
6
Published 22 Jul 2020

Sasa kupitia Tigo Pesa App unayo nafasi ya kuhakiki usajili wa namba zako za Tigo ulizozisajili kwa namba yako na NIDA. Hakiki ili kuchukua Tahadhari na kuzuia uhalifu. Pakua App sasa Google play– goo.gl/hizdoh / App store – apple.co/2xP7XSS

Category

Show more

Comments - 0