Duration 15:00

SIMBA HAWAPOI, Waingia MKATABA na SERIKALI, SASA ni MABALOZI wa NCHI, CEO, MANARA Wafunguka..

14 439 watched
0
89
Published 5 Feb 2021

SIMBA HAWAPOI, Waingia MKATABA na SERIKALI, SASA ni MABALOZI wa NCHI, CEO, MANARA Wafunguka.. KLABU ya Simba imeingia makubaliano na Wizara ya Maliasili na Utalii ya kutumia neno VISIT TANZANIA kwenye jezi ambazo zitatumika katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes imetinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kushinda mchezo wao dhidi ya FC Platinum kwa mabao 4-0, Uwanja wa Mkapa. Makubaliano hayo ambayo yamefanyika leo Februari 5, makao makuu ya nchi Dodoma. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 37