Duration 35:14

NI MIUJIZA: Mapacha Wanne wa mfuko mmoja watakushangaza, huumwa na kulia pamoja ''watu waliogopa''

137 784 watched
0
839
Published 11 Jan 2021

Namba ya simu ya mama ni +255716676004

Category

Show more

Comments - 288
  • @
    @judydickens83053 years ago Blessings from god continue to be with this family. 10
  • @
    @hassanovajunior69723 years ago 4g you' re the man of the match, masha allah they' re so cute wallah. 5
  • @
    @ummesaniyah3 years ago Furaha kwa kweli watoto wanne. Allah awaongoze na kuwalinda. Allah awape wazazi wote watafutao watoto wema. Amen. 12
  • @
    @yasimxyz28803 years ago Nimependa sana naminaomba mungu anibaliki watoto kamahao. 7
  • @
    @rodahjepkemoi79383 years ago What a blessing is this? Wish to have twins nitafurahi sana. 2
  • @
    @salhamrisho81383 years ago Allah anijaaliye namiye nipatemaboork ongeraah mnooh allah akujaaliye malezi mema na wakue katika misingi ya dini. 50
  • @
    @mabyserolouchcraig24313 years ago Mashallah mola anijalie na mm mapacha. 15
  • @
    @charleskuyeko16603 years ago Hongereni wazazi kwa baraka kubwa za watoto mapacha. Mungu ni mwema sana. Mshukuruni sana mungu kwa hilo na mwombeni awaongezee mara ndugu kuwe na timu . ...Expand 2
  • @
    @aminatundondege93843 years ago Hongera wazazi, halafu wawili wamefanana na baba, wawili wamefanana na mama. Mungu awajalie afya. 9
  • @
    @fetyalmasi89163 years ago Eeh mwnyz mungu anijaalie na mie nizae watoto wanne inshaallah. 6
  • @
    @angelfaustine2832 years ago Ee mungu naomba kwa iman nijalie watoto wa nne wakike nawakiume amen. 2
  • @
    @judithmelvinealuchio89683 years ago Mungu awazidishie maisha mema yenye baraka watoto supuu sana. 8
  • @
    @damariszuckschwert94893 years ago Inapendeza wanavyowalea pamoja wakiwa baba na mama. Siyo wababa wale hewa wanatoroka. The guy is the kind of father' s needed. 14
  • @
    @phillsnafuna59623 years ago Mungu nisaidie nami nipate mapacha jameni. 4
  • @
    @ukhutfatumah11549 months ago Mashallah jamn mbaka nimependa m/mungu azid kuwakuza pacha wetu.
  • @
    @hameesabdalah37803 years ago Naomba pia m. Mungu amjalie mke wangu nanah mapacha 4. 1
  • @
    @thobiethalibutu14653 years ago Namtukuza mungu kwaajiri yenu. Nimependa baba 4g anavyo wajali familia yake, jamani raha mama milka nawapenda sana may god blec all. 3
  • @
    @manungda99553 years ago Huyu jamaa anajua kuuliza maswali safi sana bro keep it up, hongereni sana kwa kuwakuza na mungu awabariki afya njema muwalee watoto wengu. 4
  • @
    @halimamremi53752 years ago Mashaallah! Mungu akukuzie inshaallah! Na mungu awape na watoto wetu inshaallah! 1
  • @
    @simoniandrew12733 years ago Jamn hadi raha wish sana mapacha. Mungu awabariki sana. 1
  • @
    @saumusalimuhassan24993 years ago Mashallah, allah nijaalie na mimi mume mwema na anibariki mapacha. 5
  • @
    @costantinokiluwa9859last year Hongereni jaman ee mungu nijarie nami japo wawir 2.
  • @
    @maimunaali17313 years ago Masha allah mungu atukuzie awaondoshee hasada na husuda za walimwengu inshaallah. 1
  • @
    @shamsajafary94403 years ago Mashallah mwenyez mungu anijalie mapacha. 2
  • @
    @Noah-se3ni3 years ago Kwahapo mlipo wafikisha nimalezi bora ongereni sana baba na mama. 7
  • @
    @chichi-gp4ss3 years ago Ushauri: naona hao watoto wabrand kwa sababu they are unique kwa kuzaliwa wanne. Lbd muwe mnaonyesha maisha yao how hard kwa mama kuwalea ili watu wawafwatilia . ...Expand 15
  • @
    @user-td2yp8ml6m10 months ago Mungu nina mimi nibariki nipate uzao wa pacha.
  • @
    @officialpriscillakiloko98113 years ago Esko una baraka za mapacha mashallah mungu walinde. 3
  • @
    @hawamusumba4313 years ago May this blessed relocate my house in jesus name.
  • @
    @thuwaibaabdallah68803 years ago Mashaallah mungu awaeke namuomba mungu na mm anijaliye mapacha. 1
  • @
    @nikolatanolas44883 years ago Ee mungu nijalie nami safalihii nipate kama awa. 3
  • @
    @gracemima52343 years ago Nawapongeza sana kwa kuwa na uhusiano mzuri kwa kushirikiana na kulea watoto wenu vizuri. Naomba namba yenu niwatumie chochote nilicho nacho kuwaunga mkono . ...Expand 4
  • @
    @khaulatmohammed37653 years ago Ma sha allah awajaalie maisha mazur sana. 2
  • @
    @auntdorah91412 years ago Mungu awaguse wenye moyo na uwezo, wasanii wakubwa kama diamond kiba harmonize wema sepetu na waimbaji wa nyimbo za injili wawasaport hawa watoto. Hii na kumsaport huyu baba katika kazi yake.
    kwa kupitia kutoa mungu hutuzidishia baraka
    .
    ...Expand
  • @
    @severajackson35843 years ago Eee mungu naomba na mimi unijalie na mimi nipate mapacha wa 3.
  • @
    @venahsithole64633 years ago Mungu acha aitwe mungu -hongera sana baba na mama 4g. 1
  • @
    @ladymuna49453 years ago Mashaallah. Allah awaekee wana wenu in sha allah. 1
  • @
    @saadaalhabsi25172 years ago Allah akupe kheri na baraka akujaalie rizki kama alivyo kupa vipacha.
  • @
    @Leahmjohn3 years ago Mungu awatee watoto wazuri, hongereni sana.
  • @
    @agneskadzo61053 years ago Ur blessed lady. Mungu akulinde na ailinde family yako. 6
  • @
    @babyhamisi53313 years ago Mashaallah tabarakaallah nywele zao zina afya. 15
  • @
    @jacquelinefrank42063 years ago Amen mung u aje kunijalia mapacha pia ameen.
  • @
    @mamunote35073 years ago Mashallah m. Mungu awakuze wawe watt wema ameen.
  • @
    @rachellaiza77793 years ago Hongereni sana wawili wamefanana na baba na wawili wamefanana na mama.
  • @
    @jobrameki9933 years ago E mungu nijalie na mm nipate furaha ya mapacha kama hawa. 1
  • @
    @janemsamati67003 years ago Mimi mwenyewe ni pacha ila hongereni sana kwa zawadi hii, mungu awabariki sana wazazi hao na watoto hao, nawapenda sana. 1
  • @
    @aminamlete79683 years ago Adi raha mungu anipe na mimi inshallah. 2
  • @
    @zuhuranassoro7913 years ago Ongereni sana jaman. Naomba namm m/mungu anipe mapacha wawilia au watatu. Amiina. 2
  • @
    @hameesabdalah37803 years ago M. Mungu awaongoze wtt hawa kwenye kuijua dini ya allah.
  • @
    @FatmaFatma-kt1or3 years ago Mashallah namuomba munqu anijalie mwaka mwenqine nilete.
  • @
    @thelionwomen49703 years ago Mwenyezi mungu ni mwema saana kweli dada leo unafurahi na watoto wako.
  • @
    @priscajohn60903 years ago Hongera sn mungu na mi ikifika siku naomba.
  • @
    @pillynoby42493 years ago Hee mungu na mm nijaarie mapacha natamani sana mapacha. 1
  • @
    @georgiarugaika34613 years ago Waoooh mungu wabariki bariki matumbo ya kina mama wote. 12
  • @
    @eshyndibalema15293 years ago Watoto ni faraja mwenyezi mungu akukuzie.
  • @
    @nurainimohamed44302 years ago Esco maa shaa allah umeweza kuwatembelea mapacha wangine wa nne.
  • @
    @mwanakhatibu37223 years ago Mashaallah mwenyez mungu nijalie mume bora namm niwe mke bora naunijalie kizazi bora nimeona hiyo family nimetamani ndoa. 9
  • @
    @salehnassor89803 years ago Mashallah wtt wzr allah awakuze makuz mema.
  • @
    @mauajames46703 years ago Jaman wamependeza, mungu namimi wajua haja ya moyo wangu naamin utatenda.
  • @
    @esthermuthoni37633 years ago Jamani rahawazazi wenzangu. Naomba sana mungu anitunuku angalau mapacha tu. Nina uja uzito ya wiki tatu. Much love from kenya. 9
  • @
    @rehemamasoud36873 years ago Jamana baba 4g. Umekuza kk mungu akubarik ukiruda mara 2. 2
  • @
    @neophithasevelin14313 years ago Ongera sana mungu wasaidie watoto wenu wawe na afya njema.
  • @
    @aminamlangida8693 years ago Eee mungu nami nibariki mapacha wanne inshallah. 2
  • @
    @ukhutfatumah11549 months ago Daa baba ana saut nzuli. Ya kuimba hongera sna baba 4g.
  • @
    @mussamohd59493 years ago Mungu aniajaalie na mm maxhallah mung awawek.
  • @
    @lucyjossy3863 years ago Mapacha ni baraka kutoka kwa mwenyezi mungu.
  • @
    @munatwalib28083 years ago Si ufundi ni fungu kaandikiwa na mwenye ezi mungu, allah awahifazi na awakinge na macho ya mahasidi. 5
  • @
    @fatumamakungu29423 years ago Mashaa allah kheri nawatamani tena nawapenda watoto mapacha. 2
  • @
    @khdigahk42463 years ago Dd walee mpaka wawe wali ndoubebe ujauzito mwengine kuwaona apo laha saana lkn kz iliopita c ndogo mungu akubariki saana da sofia.
  • @
    @nyamkamawanjara293 years ago E mungu naomba na mimi mapacha hata zaidi ya hawa napenda na ninahitaji. 10
  • @
    @marymurungi12543 years ago Ambia baba aanze kuimba na wanawe. Mungu atamfungulia milango.
  • @
    @cheiknamouna20583 years ago Mmejitahidi mno mnahitaji pongezi kubwa sana kuwalea watoto wa 4 ni kazi mmoja tu anatushinda.
  • @
    @annahgasper25493 years ago Waoo mungu wape maisha malefu nayenye baraka tere kuzaa nimajaliwa dada kwakweli usimuache munguu mtangulize mungu.
  • @
    @faudhiasalum7279last year Hongera sana mimi ni kizaa wa 4 lazima serikali ihusike hapo maish yenyewe mtihani. 1