Duration 11:32

Alichokifanya DIAMOND Kwenye Harusi Ya HARMONIZE Ni Zaidi Ya Upendo

675 933 watched
0
2.5 K
Published 8 Sep 2019

Category

Show more

Comments - 420
  • @
    @leahsimiyu82695 years ago Congratulations for both of you, may the lord almighty protect your marriage, more happiness, health and prosperity, from 254. 20
  • @
    @Zoe8835 years ago Congratulations harmonize en sarah! God bless your union. 1
  • @
    @rosemarysebea85225 years ago Hope for armonize & sarah. God bless u eny time & evry day for youre life. 2
  • @
    @hildamjema2845 years ago Waooo hongera yaani mm mmoja sijaja kwani harusi isingefanyika ahaaa harusi hiyooo mambo ni fayaaa hongera hamonize kukimbia na kutii amri ya mungu tuache uzinzi mungu akabariki ktk maisha mapya ya ndoa karibu kwenye chama sara. ...Expand 7
  • @
    @aby211115 years ago Show me which lotto you played to win a princess with natural beauty sarah is naturallybro.
  • @
    @kemigishajoyce93315 years ago With god everything is possible congrats harmonise n sarah wish u the best in yo marriegemuch love frm 256. 6
  • @
    @witneywitny78925 years ago Thank you hermonize for wat u hv done. God bless u and ur wife. 1
  • @
    @suleimankatana80675 years ago Wa hongera konde boy mungu akuzidishie na kz yk. 1
  • @
    @zenabbarry31365 years ago Waou congratulaions best star long life love.
  • @
    @minerhanson6255 years ago Hongera zao harmo en sarah bt not fear kiukel. 3
  • @
    @ivonatumsime25665 years ago Mmejuaje ambao hawajaudhuria wakati mmezuiliwa kuingia! Harmonize hongera. 31
  • @
    @nuratamir67055 years ago Mungu awape maisha marefu na ndoa ywnye amani na masikilizano mmependeza.
  • @
    @sarahmohamed3375 years ago Alif mabroook somooallah akutunzie ndoa yako. 1
  • @
    @vedastinavedasto8885 years ago Fanya mazuri wakushangae broo. Mungu awatangulie ktk maisha yenu mapy ya ndoa. 5
  • @
    @marysaituni45845 years ago Na ndoa hii idumu milele jamani, isije ikawa kama movie. 8
  • @
    @amanifundi35045 years ago Nzur ila muheshim mind akumbuke wakina babu tale walimkataa mond almkubali. 10
  • @
    @lamekisimoni28095 years ago He kumbe harmonize hongera zake kawafungulia njia wasafi. 13
  • @
    @asiahamza39495 years ago Hongera sana konde boy. Mungu awe nanyi ktk ndoa yenu.
  • @
    @sophiatadeo98805 years ago Dahh harusi nzuri lakin bila wsb hasa diamond bado haijakamilika ila konde kumbuka ulipotoka. 1
  • @
    @athumaninandundwa72985 years ago Hongera kaka angu awowanaosema achan nawo.
  • @
    @tuwajafar56875 years ago Hii kama naona movie ya kihindi. Lakini kama ni movie ya kibongo hongera mdogo wangu!
  • @
    @hfj93155 years ago Binadamu hatutakiwi kusahau tuliko toka hata kama mtu kakukosea kikubwa tusameheyane tuu. 26
  • @
    @BRUNO-me1jg5 years ago Diamond usimchukie harmonize alikuw ni mdogo wko. 3
  • @
    @sofiayusufu77625 years ago Kama na wewe wa kusini sema konde boy. 73
  • @
    @fancymercy8145 years ago Amemfanyia poa juu diamond na naye hana msimamo. 2
  • @
    @gabrielmoses68605 years ago Kukosekana kwa dangote hapo, it is so sad! 1
  • @
    @tessyrossy76145 years ago Acheni mambo yenu kwani diamond nani mungu ama? Mbona yy hakumulika harmo kwenye baby shower acheni uchonganishi. 12
  • @
    @andrewmchimaga71005 years ago Nampongeza sana dogo rajabu kwa hatua hii muhimu mungu awabariki sana tena sana hao wanoponda eti fulani alimtoa ndio aendee kumsujudia ikumbukwe ata uyo kuna watu walimtoa na awapo nae. 1
  • @
    @rabiahsingo59715 years ago Aise we konde wew konde litakupiga kweli umeshindwa kualika hata mmoja hongera kwa kuoa ila umekosea sana. 3
  • @
    @vinceray69795 years ago Tusije tukamjudge harmonize, anajua anachokifanya ana sababu zake. Pia hatujui kilicho tukia. 35
  • @
    @ahmedmwenye95645 years ago Achaga ungese basi habari na tangazo vitu viwili tofauti. 2
  • @
    @malyunabdiaziz55825 years ago Wcb take this example. Sio kuzaa waharamuu. 2
  • @
    @johnsonalphonse85815 years ago How did you know if he didn' t tell anybody in wcbs. 6
  • @
    @samagolionlinetv3885 years ago Skuzote ktk masha mungu ulipa kwakila unalo mfanyia mwrnzio hapahapa duniani na umia kuliko. Alivyo umi mwezio dimond kunawa2 aliwafanyia hiki alicho kifanya . ...Expand
  • @
    @samanthaali8735 years ago Alhamdhulillah ndio nae aoe huyo chibu sikazi kuzaa wanaharamu tu. 17
  • @
    @TALLUBOY5 years ago Umu ndan vigogo woote wameingia sema smjapata
    nafas ya kuingia umu.
    5
  • @
    @obbymwakasoke98425 years ago Diamondi cjui weww yakwako lini wewe unawazalisha tu na kuwapanga. 11
  • @
    @saudanikwelibbyjmaneno.kun73725 years ago Keshakuwa mondi. Mwenyewe aliimba. Harmonize akimpijia. Sim. Anamuona. Kama. Aanam. 1
  • @
    @lilhussle80775 years ago Aaah semegi salha karb katika uislam pia hongereni kwa jamb la kher.
  • @
    @anisiaaudax73895 years ago Baada ya kutoka wasafii kaamua kufunga ndoa dah mungu awabariki h&s na mungu awajalie mdumu katk ndoa yenu.
  • @
    @gracekweka39905 years ago Hongera yake lkn amonize kumbe bado anachuki binafsihata kinafsi alafu harmonize unatakiwa kumuheshimu sana mondi ungekuwa bado unauza mitumba sio vzr.
  • @
    @nassirmasoud60975 years ago Mm maoni yngu tofauti na topic iliopo. Cc ni waislamu tunatakiwa sherehe zetu ziendane sambamba na sheria zana mambo ya kigeni. Japo ni wasanii lkn tuna nafac kubaki ktk mcmamo wetu wa dini. Kutoka mavazi/sherehe hadi mavazi. ...Expand
  • @
    @saidysaidy38535 years ago Diamond nani bhana mung au mwache afanye yake. 26
  • @
    @mossesimessi32565 years ago N video jaman new song sio ndoa nan amegundua kma mm.