Duration 14:8

NILIKAA KIMYA KUMPISHA NANDY NISIFANANISHWE NAYE - RUBY

70 177 watched
0
411
Published 9 Jan 2018

Ulikuwa ukimya wa muda mrefu na sasa Ruby amekuja na wimbo wake mpya 'ARE YOU READY?.hii inakuja baada ya kuibuka kwa msanii mwenzake NANDY ambaye anatajwa kufanana vitu vingi kwenye muziki wao.Ruby alikaa kimya kupisha mfanano huo kufutika vichwani mwa watu......

Category

Show more

Comments - 104