Habari Mtanzania mwenzangu,
Mimi naitwa Mrisho Mpoto.
Napenda kukualika uungane nami katika vita dhidi ya janga la Corona kwa kusikiliza wimbo huu maalumu kuhusu Corona ambao nimeufanya kwa kushirikiana na THT.
Naamini kwa pamoja tutashirikiana kulishinda janga hili.
Mungu Ibariki Tanzania.
#NanawaMikonoKulindaNchi
#MikonoSafiTanzaniaSalama