Duration 3:12

VIDEO : Paul Makonda akiendesha Pikipiki - Akabidhi vifaa kwa Jeshi

72 588 watched
0
148
Published 8 Sep 2017

Mkuu wa mkoa wa DSM leo amekabidhi Pikipiki za Traffic 10, Computer 100 na Baiskel za kisasa 200 kwa ajili ya kuimarisha utendaji kazi wa Jeshi la Polisi Dar es Salaam na kulifanya kuwa la kisasa.

Category

Show more

Comments - 28