Tangazo la kujiunga na Elimu ya mafunzo ya ufundi standi kwa mwaka wa masomo
uongozi wa PADEHA TRAINING CENTER AND OPEN SCHOOL unawatangazia vijana wote waliohitimu darasa la Saba,kidato Cha nne na kidato Cha sita, kujifunza kozi mbalimbali
karibuni nyote
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for PADEHA TRAINING CENTER AND OPEN SCHOOL: