Duration 1:8

CHANGAMOTO ZA UMILIKI ARDHI

72 watched
0
0
Published 10 Mar 2021

Farida Chambulilo, Afisa Ardhi kutoka jiji la Dar es Salaam LIVE Alhamisi hii kwenye Sebuleni ya Plus TV tukiangazia namna ambayo changamoto za kumiliki ardhi zinavyoweza kutatuliwa kwa wananchi. Ni ipi tofauti iliyopo kati hati ya ardhi na hati ya nyumba?, usikose kesho kuanzia saa 1 kamili za asubuhi na Gift Swai, Skawa Junior & Kevin Lameck on DStv channel 294. #Sebuleni #ZaidiNaZaidi

Category

Show more

Comments - 0