Duration 13:4

James Mbatia: Watanzania tusisubiri kuambiwa, CORONA ipo, tuchukue tahadhari

2 370 watched
0
14
Published 27 Jan 2021

Leo Januari 27, 2021 Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi ndugu James Francis Mbatia amezungumza na vyombo vya habari kuutahadharisha Umma kuhusiana na mlipuko mpya wa ugonjwa wa COVID-19.

Category

Show more

Comments - 9