Duration 9:49

Je Unapitia Wakati Mgumu Katika Maisha Yako

49 156 watched
0
920
Published 14 May 2019

Wakati Mgumu Lazima Uje Katika Maisha Yako Kwa Sabau Kuna Mambo Lazima Ya Fayike Katika Maisha Yako:- 1.Kuna Kitu Lazima Ujifunze. 2.Kuna Kitu Unaepushwa Nacho Au Madhara Unaepushwa Nayo. 3.Kuna Maamuzi Unatakiwa Kuyafanya. Niambie Kati Ya Mambo Hayo Matatu Ni Maamuzi Gani Unadhani Unatakiwa Kuyafanya Katika Wakati Wako Mgumu? #SeeYouAtTheTop#TimizaMalengoYako#SeeYouAtTheTop

Category

Show more

Comments - 252