Duration 2:16

Huu ndio Mjengo wa Kifahari HAMISA MOBETTO alionunuliwa na DIAMOND PLATNUMZ

345 962 watched
0
1.7 K
Published 12 Jun 2018

Kwenye mitandao ya kijamii kuna trend nyumba ya kifahari ambayo inasemekana msanii Diamond Platnumz amemnunulia mzazi mwenzake Hamisa Mobetto. For more Entertainment News and Updates Watch Refresh on Wasafi Tv Every Monday to Friday, follow us on Social Media:- Instagram: @WasafiTv Twitter: @WasafiTv Facebook: @WasafiTv or Intagram: https://www.instagram.com/wasafitv Facebook : https://www.facebook.com/wasafitv Twitter : https://twitter.com/wasafitv

Category

Show more

Comments - 459
  • @
    @lashymreal65556 years ago God bless Diamond and give him more gd dady 5
  • @
    @sophiahmedza9296 years ago Wow. Dylan cute bby. May God protect you bby 6
  • @
    @hopechidera6 years ago Kumbe mama Mobeto ana mwanya nzuri hivo😍💓 4
  • @
    @fatumahengo68496 years ago mashaalah nzuri nyumba yako Dylan mungu akuepushe na hasadi za watu 44
  • @
    @jasminetesha82256 years ago Harooooooo. Bibiiiiiiiii njoooo uone watu navibabu vyao mambo ni fire💪👏👏👏misaaa siofunguo tuuu waambie nachmba cchake kipo wakafie mbele 3
  • @
    @aishaelias68266 years ago Huyu dylan anaonekana atakua kitombi kama shemeji wetu diamond,,am happy for this boy Dylan love you hansome 2
  • @
    @estherhaloim14966 years ago Hapo safi. May God bless them all. Wenye wivu wameze Wembe 👍👍👍👍👍👍👍👍❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️😘😘😘😘😘👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿🥂🥂🍾 1
  • @
    @dashuusaalim88826 years ago Mashallaah kwel rizq man tashhaa.u mwaka wa mia huu naesabu mabanda ili angalau npte hela ya sabuni aaah waaaap hadi xaxa naendelea kuhastle..... Dyllan mtt mdogo anamilik duddee hlo Allah ampe maysha marefu aje aishughulikie nyumba yke. Aaamiin na sis pia mungu atufungulie rizki zetu. Allahumma aaaaamiiiin ...
  • @
    @majaliwagessler44436 years ago Well done ,wako wapi wale wenye gere na hamisa mambo ndio hayo 🤗 5
  • @
    @ftmat28056 years ago Kweli damu mtu haipotei inshallah mungu amzidishie dai nakufanya mema. 6
  • @
    @shamilamct54426 years ago Mashallah 😃 😍 👍🏽mabruuk 😍😘😘👏👏mashalla mola awabarikieni inshalla
  • @
    @Joze-ko9he6 years ago Waooooooo big up diamond goodwe ar happy 1
  • @
    @lameesrashdi12986 years ago 🌺🌺🌻🌻🌹🌹Hamisa.mondi. Nawapenda. Bule 👌💓💓💓
  • @
    @hopechidera6 years ago Hamisa hajanunuliwa nyumba,kanunuliwa Dyllan😚 3
  • @
    @daudimwamghunda64856 years ago Yes. That's how it should be. Big up @diamondplatnumz 1
  • @
    @tarisilamushi27986 years ago asante mama.usikubali kujiweka kwenye mitandao sana. 2
  • @
    @nabintukadende23886 years ago Hongera big boss.. lea mwanao baba u never know about tomorrow.. courage 👏👏👏
  • @
    @kazamoyo76316 years ago Nmpenda mama mobeto kwa busara zake. Safi sana mama na mwana na mjukuu. Mungu awape maisha elfuuu
  • @
    @uwimanauwimana55196 years ago ndomana hamisa anachukiliwa sana anayo nyota yenye mustakabal 👍👊 3
  • @
    @saidkhamis31136 years ago Nampenda huyu mama hua simpodaji ni mkarimu...I love you mom
  • @
    @hunysora82066 years ago You made it gal.....Hamisa uko juu tu sana
  • @
    @mwanaali75666 years ago asantee sana diamond kwaku mjali mzaz mwezako
  • @
    @zawadihalahala61936 years ago Safi sana mama mobeto nakupenda sana unaga ndio mana hamisa umemlea vizuri
  • @
    @Joze-ko9he6 years ago Maskini si bora diamond anampenda huu myoto katengwa nawote alhamdulilah diamond mungu akulipe vizuri
  • @
    @sharifaismail19366 years ago She looks polite da way she talks MashaAllah
  • @
    @maulidally55786 years ago Nasibu uko vizr, mijengo mzri, maisha mazuri na hii kwasababu ya jitihada zako nzur ( keep it wcb)
  • @
    @najma32686 years ago Unawajibu vzr kweli. Hata funguo anayo hapa ni myumbani kwakwe 🙏 19
  • @
    @ruqaiyahali80556 years ago Mashaallaah ringa hamisa we 👌😁😁💞💞💞😍😍💋💕
  • @
    @timelessbeauty56776 years ago good job Diamond ....wape mahasidi nafasi waongee tu mchana na usiku watalala 1
  • @
    @tatuomar41646 years ago ila mama mobetto mumewako si kwamakofi hayo we deeylan unaanza kuwapiga mapema wake zako 19
  • @
    @happypius93606 years ago leila iddy hakuna uchawi hapo ww unakionaje kiono cha Hamisa utamfananisha na bibi Zar🙌 9
  • @
    @mummyomoze2426 years ago Hongera mama Kwa kumuheshimu mkweo, kweli nimeamini simba hapangiwi pori akiunguruma wanyama Wote kulala 4
  • @
    @fababindawood58426 years ago Safi sana simba kwa kumjali mwanao.jaman nyumba hajanunuliwa hamisa ni ya mtoto waweza kuta document zote anazo baba yke na mwanasheria anajuwa kila k2 3
  • @
    @fatumadjumbe25516 years ago Mama Daimond kafanya vizuri kukufukuza kwake ndomana daimond kakununulia yako mama
    Ili awe ana kufata hukohuko hongera mwanamke
  • @
    @zainabualtz14556 years ago Mjuukuu ndo kitenga uchumi😁😁😁 Mungu nipe maisha malefu😪😪😪 4
  • @
    @azezhgalb60696 years ago hongera hamisa warudi kusem tena tuune
  • @
    @sunshine146926 years ago adverts are way too much,it gets annoying after you watch the main contents that you intended to watch then you think its a brief advert to more parts of the story then boom the remaining seconds are just unnecessary whom it may concern kindly check on that. ...
  • @
    @yohanamsafii34046 years ago Shimo limetema km unaikubali hii family plz gonga like hapa
  • @
    @saumuhassan13656 years ago Nilitukanwa kisa hamisa, na bado sasa wenye wivu wajinyonge kwa uzi👌 😂😂😂😂 , ndio maana nakupenda Baba Dylan mnyonge angalau na yeye. 12
  • @
    @alibell52463 years ago Mlango uko wazi hongera mama diamond oa bac jmn dah
  • @
    @lightsomi2106 years ago Kwendeni uko na unafiki wenu awe kanunuliwa au kakodishiwa nyie kinawahusu nn mwacheni amisa aleraha jamani kwa uchunguwake aloupata pindi anamzaaa mwanae, kama na nyie mnataka taften vi bwana vywenye pesa vitawahonga tu mkitafta wa mia na hamsini mtaishia kuwachamba wenzenu kumbe wanaishi ghorofani na gari wamepewa ... 4
  • @
    @tabuabdallah10236 years ago mashallah ina pendeza mond mungu amzidishie kilalenye kheri nae inshallah 2
  • @
    @amirsab11586 years ago Mimba ita zaliwa pacha na majumba nayo yazidi kuja mashalla waonyeshe mama 2
  • @
    @samanthaali8736 years ago Bahati ya mwenzio kweli usilalie mlango wazi dully hongera nakuona mwenywe apiga Bibi yake penda mm ww bby Dully😂😂😂👌 2
  • @
    @emmabays99636 years ago wabongo mavi kitambarani nyoooooh nabado 7
  • @
    @jeanmalilo73346 years ago Gonga likes hapa kwa hamisa kumloga mondi
  • @
    @zayanazayana53536 years ago Jamani mekup zinadanganya sometimes huyu mama Hamisa kumbe hio ndio Hali Na mkorogo umekolea mi nlidhan mweupe 1
  • @
    @ezapesambili29026 years ago Diamond uniachaga njia panda Mimi yani ukisema nanua nyumba inashukaa BG up brother
  • @
    @maryammarym44376 years ago Mambo ni motoo wenye wivu wakajinyonge 25