Duration 3:54

TAZAMA | RC MWANZA ATOA ONYO KWA WANAOCHAFUA VYANZO VYA MAJI

219 watched
0
5
Published 21 Dec 2021

Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel amewataka maafisa mazingira na mabwana afya kuchukua jitihada za makusudi katika kusimamia na kuboresha hali ya usafi wa mazingira ndani ya mkoa huo sambamba na kuwachukulia hatua wale wote wanaotupa taka hovyo na kuchafua vyanzo vya maji. Mkuu wa mkoa ameagizo hilo katika mwendelezo wa kampeni ya upandaji miti na usafi wa mazingira ndani ya mkoa huo ambapo ameshirikiana na viongozi wengine toka ngazi ya wilaya na halmashauri ili kutoa mfano na hamasa kwa wakazi wa mkoa huo kuendeleza kariba hiyo ya kusafisha mazingira kwa usalama wao na afya zao. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: https://www.facebook.com/Spotileo-176 ... HabariLeo: https://www.facebook.com/habarileo/ DailyNews: https://www.facebook.com/dailynewstz/ INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig ... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid ... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09

Category

Show more

Comments - 0