Rais Samia Suluhu Hassan amezindua chanjo ya #COVID19 kwa kuchanjwa leo Ikulu, Dar es Salaam.
Amesema kuwa kwa wale ambao ugonjwa huu haujawafika wanaweza kusema lolote, lakini kwa waliopoteza ndugu/jamaa/rafiki wanatamani warudishe muda nyuma, wachanjwe.
Category
Show more
Comments - 8
Related videos for Rais SAMIA Akasirika na Kumuonya ASKOFU GWAJIMA Chanjo ya CORONA, Acha Kupotosha Watanzania: