Duration 19:57

Highlights | Ruvu Shooting vs Simba SC (0-3) | VPL

333 190 watched
0
967
Published 3 Jun 2021

RUVU VS SIMBA (0-3): Simba imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Dimba la CCM Kirumba, Mwanza. Magoli mawili ya Simba yamefungwa na John Bocco na moja likifungwa na Chris Mugalu huku Ruvu Shooting wakikumbana na rungu la kadi mbili nyekundu zilizoelekea kwa beki Juma Nyoso na golikipa Abdallah Rashid. Tazama hapa magoli yote na jinsi kadi nyekundu zilivyotokea. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 100