Headlines za mauaji ya raia wasiokuwa na hatia katiaka Wilaya ya Kibiti, Pwani zinaendelea kuzungumziwa ambapo leo June 29, 2017 Wabunge Goodbles Lema na John Mnyika wa CHADEMA kwa nyakati tofauti walisimama Bungeni kuliongelea huku wakiilaumu Serikali kushindwa kulitatua tatizo hilo.
@silvesteralex92997 years agoLema is one of the greatest speaker of our time, and a great politician. 5
@
@missmuunasharifu23237 years agoUkweli unauma, na wanaizungumzia kibit coz wanaumia, wameisha poteza maisha wangap?
@
@veronicawoisso53327 years agoNaamini angekuwa anaishi huko waziri mwenye dhamana ungekuta wameshatafuta suluhisho. Kuna msemo unasema msiba usikie kwa jirani ila si kwako.
@
@amneabdullazizi98897 years agoWanasiasa watu wabaya sana. Wanasiasa ndio source ya umwagaji damu popote duniani, naona mnatamani yanayotokea kibiti yatapakae nchi nzima. Kwani pakichafuka lema utakaa salama? Babako na mamako watakaa salama?
@
@bonnyngowo75672 years ago2022 bado nguvu ya upinzani naiona na mlingwa amepotea kabisa kisiasa.
@
@joycemashikolo90967 years agoAta kama mna hoja za misingi lakini kauri zenu zinauchochezi wa kuvunja imani. 5
@
@charlesnoafekwalipibayaali26624 years agoWapi huko katika nchi hii ambako wamesusiana futari? Hizi siasa zenu muwe wangalifu sana sasa huyu eti ndio mbunge wako hebu umemsikiliza anavyoaema ukimpima. ...Expand1
@
@charlesmagere90207 years agoHivi lema unaelimu gani. Yaan unavyeti tu lakn hakili huna. Kanye huko. Mnyika nae kapotea tofauti na 2012.
@
@naurumnazaleti67747 years agoWw unaamani gani mkundu kweli yan ww anachochea nini au anachochea kumgonga mama ako nini fala ww.
Related videos for Walichosema Lema na Mnyika kuhusu mauaji ya Kibiti Bungeni leo: