Duration 4:57

Wazazi wawe WALEZI Asio WAHUDUMIAJI | na Jennifer Kayombo

78 watched
0
4
Published 13 Jun 2019

"Wazazi wawe walezi sio wahudumiaji" ni maneno yaliyoandikwa kwenye mtandao wa kijamii na Jennifer kayombo ambaye ni mwanaharakati wa maswala ya jinsia na afya ya uzazi, pia ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo kikuu cha Dodoma. Alikua ana maana gani? Amefafanua kwenye interview aliyoifanya na Aggie Gabe kwenye Disrupting Mindset.

Category

Show more

Comments - 2