Thamani ya miili yetu Ni kubwa sana, lakini thamani ni namna kila mtu anavyo itatathmini, ndio maana kila mtu hufanya anachokiona kinamfaa katika mwili wake, wenye kujitoboa, wakujikoboa,wenye kubadili rangi, wenye kukuza vinavyokuzika, hadi roho siku hizi hubadilika kutoka kuwa na roho nzuri mpaka kuwa na roho mbaya, kiufupi hakuna kinachoshindikana katika mwili huu wa binadamu.!
Ila yote yanaweza kuwa mabadiliko ya kawaida ambayo tunakutana nayo kila siku, lakini kuna mabadiliko mengine lazima yakuache kinywa wazi.. Ndio maana tumekuandalia watu hawa 6 waliofanya mabadiliko ya kushangaza katika miili yao.!
Enjoy.!
INSTAGRAM : https://www.instagram.com/yib_yt/
Twitter: https://twitter.com/Yib_Yt
SUBSCRIBE HAPA: /channel/UC7zh-_031V1fMfq-itAzCHg
Check out other videos on the Channel:
Hata BAUNSA Wa Kiasi Gani, Kwa SHAOLIN MASTER Lazima Akae Chini.! Na Hii Ndiyo Sababu.
/watch/cfH9Gw0s1fzs9
Sehemu Yennye Nguvu za AJABU, Hata Ufanyeje Hauwezi Kuanguka.!
/watch/0BxSVen5gLK5S
Makumbusho Yaiyojaa Miili Ya Binadamu Isiyooza.!
/watch/oar_yI9a2Ssa_
Viumbe Wenye Uwezo Wa Kuishi Baada Ya Kufa.!
/watch/Uba3csqNz0HN3
Kisa Cha Medusa.! Dada Aliekatwa Kichwa Kwa Kosa La Kubakwa.!
/watch/QabeIvrai23ae
Ugonjwa Wa Ajabu Uliofanya Watu Kuanguka Barabarani Na Kuchapa Usingizi.!
/watch/8lJPWWm02MG0P
Watu 6 Wenye Sifa Za Kipekee Duniani !
/watch/oMmH8NbGPf7GH
Ukikutwa Maeneo Haya, Kifo Kinakuhusu.!
/watch/s61=t&MInwxK89n6N9=
Inasikitisha, Afariki Siku Moja Kabla Ya Harusi Yake.!
/watch/A2vDlkr5l8u5D
Area 51 Sehemu Inayolindwa Kwa Siri Nzito Kuhusu Aliens.!
/watch/YtU_-wMQGCrQ_
BERMUDA Triangle, Kisiwa Chaajabu Kinachomeza Watu.!
/watch/0aLTnb0Z5ENZT
Machozi Yatakutoka Ukisikiiza Stori Za Kusikitisha Katika Video Hii.!
/watch/8gg-WZ0gUtrg-
Hivi Ndivyo ugonjwa Wa Ukimwi Ulivyoenea Duniani.!
/watch/8p3TqZ-6Arm6T
Ukikutana Na Viumbe Hawa Kimbia Haraka Uokoe Maisha Yako!
/watch/0h4o9X4dzz4do
Tukio Lililofanya Watu wengi Wapoteze Maisha.!
/watch/gMTfGTcjWTEjf
Maajabu Ya Msitu Wa Amazon Na Yaliyomo Ndani Yake !
/watch/No-MbpMI99MM
BG Music:
Music from https://filmmusic.io
"Gregorian Chant" by Kevin MacLeod (https://incompetech.com )
License: CC BY (http://creativecommons.org/licenses/by/4.0/)
Narrated by: Camarah
Written by: Dijjah
Edited & Produced by: Dsilly
#YIB
#YourInformationBook
#MatukioYaKusisimua
@hamongukecha89444 years agoWabongo mmeona hyoo? Wazee wa kuiga igeni na hvyo! 10
@
@mabeekeniya97104 years agoEwe mungu wetu tusamehe kwa matendo tunayo tunayoyatenda.
@
@mwanahamisjuma6894 years agoWashajipa mihuri had i kesho kwa mungu inalilahi. 1
@
@paulinasemindu12924 years agoDunia, simama nishuke sio kwa uchz huu jmn. 2
@
@gloryren71624 years agoHuyo aloweka visu puan cjui ana pua kubwa kiasi gan aahahha dunia hii uwii.
@
@khamishamad57584 years agoSubhana allah kuna watu ata sijui wana akili gan.
@
@rukiaiddyyahaya95064 years agoNimecheka eti watu wengine hubalika kutoka katika roho nzur had roho mbaya. 1
@
@lightnesseramson76544 years agoJamani hawa kuna roho inayowaongoza sio bure. 9
@
@mwatimaabdallahaji24524 years agoAllahkuwa amemuumba mwanadamu ktk umbile lililobora kabisa. Yn kama hiz tundu za mackio ningekuwa ckutobolewa udogoni bas mwili wang ucngekuwa na tundu nyengine baada zile za lazima.
@
@allykutenga28624 years agoAlmarhum bi kidude alisema shibe ikizd sana basi wa2 huzuwa mabalaa. 12
@
@barakajacobs45394 years agoWhathii dunia kweli kumbezamanii tuugod forbid! This is demonic! 3
@
@fatmapanaguiton97834 years agoHatakama ungelikuwa utajiri mimi siwezi. 4
@
@lovevivy74594 years agoMpaka roho zinabadilika kutoka kua nzuri hadi mbaya, kaka anaua kwa kicheko h intro kali.
@
@josephndunda63902 years agoIt' s true that human beings are mad.
@
@allisonmadii76204 years agoKiukwel naangalia huku ninahofu. Afu nimemaindi kinoma yaani mwili jinsi wanavoiaribu sijapenda kabisa yaani maamake zao. 2
@
@fadhilikawambwa15863 years agoWatu wa kuzima hujulikana hapahpa dunia.
@
@shemmastershaaban774 years agoUkiwa hujielewi utafanya kila kitu. Laanasumaka.
@
@sarakondo38443 years agoOh mapembe tna bas at onesh vy sehem za siri.
@
@ammyphilimon69714 years agoWakija tz tunakimbia tukihofia mtoa roho za watu.
@
@divinebernard26244 years agoAkili ya mtu njo wazimu wake, sijuwi wenzetu wazungu wanashida gani.
@
@magynzioka11224 years agoShetani atawakana kabisa mahama mungu aliwapa hakili zaidi yakujua mema na mabaya lakini mwanadam nani hata shetani ukaha pembeni na kushanga mnatenda thambi zaidi yake. 1
@
@abdiraufmustafa63644 years agoWatu wamekuwa na ilmu ya kupoteza sheitani. Yaa mawlaana.
@
@daughterofzion.96244 years agoHuu ni urembo ni ushetani ama ni mchanganyiko wa maroho machafu imezidi hii. 10
@
@mustaphagairo19364 years agoAlafu bado unakaa unaxema hujawahi kumwona xhetani live.
@
@jerrysonshayo15574 years agoMwingine kaweka hadi pembe. Alitamani kuwa ng' ombe naona. 12
@
@dalyadull7064 years agoNimeangalia had nahisi kichefu chefu wanavyotisha. 25
@
@gmukavana4 years agoSiku ya mwisho mtajibu hayo yote mliyoyafanya.
@
@bintimohammed32334 years agoMashetani ndio yako hivi sasa innalillah waina ilehi rajiun. 2
@
@michaelmichael38834 years agoWaende kwa babu yao akawajaze tena ujinga wamehalibu shoo tenahivi vitu wasingeonyesha hakuna anae pendezewa na sura hizi.
@
@damarisndanu66554 years agoJameni wanadamu wana mambo. Mungu katuumba kwa mfano wake mbona tuharibu kazi yake ya uumbaji? Siku ya kiama mtamwambia mungu aje?
@
@asayubeejr11994 years agoHhhh dah nyege mbaya jamani mungu wangu alie nichekeshe yule alie jitoboa visigino eti yuko mbioni kujitoboa mpkaa magotinii haya kweli akili hizo jamani. 6
@
@rehemacharles61284 years agoKwakweli inachekesha mpa mtangazaji mwenyewe anachekesha.
@
@user-il1bv6vs9q4 years agoSatanic act an satanic bondage satanic connection i command devil loose the grip in jesus mighty name amen i send holy ghost fire to release u an set u free in jesus mighty name amen. 11
@
@hawoille47484 years agoThis ones are simply competing with god, allahu akbar, they are telling god, *you didnt create us how we r supposed to be, so let' s do it for.
@
@nancyclerah94574 years agoHawa watu wafaa wapelekwe kwa phsychatricwazima kabisa. Mungu alituumba kwa mfano yake tunaweza mshinda maarifa tukaanza kujiharibu kwa vipini mara kutoboa mguu. Alafi hiyo background sound inafanya nakuwa muoga. Wah. ...Expand7
@
@peterpetero88524 years agoThe bible says our bodies are the temple of god mbona mnatoa mungu makosa na vile alikuumba my brother my sister there is god oooh judgement day is coming.
@
@officialsalmazayn97204 years agoMungu baba dunia inakwenda kasi aki daah hadi nahisi joto. 6
@
@mwajumamohamedi35344 years agoNilikuwa nakutafuta nashukuru nime kupata leo mana nime baadili cm napenda kusikukiza simulizu zako japokuwa zina tisha.
@
@straightkonect16134 years agoNimegundua binadamu ndio wanaforce collabo na shetani.
satanic connection
i command devil loose the grip in jesus mighty name amen
i send holy ghost fire to release u an set u free in jesus mighty name amen. 11