Duration 5500

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe Ndugu Halima Mdee, amekamatwa na jeshi la polisi kwa madai kwamba am

38 watched
0
0
Published 28 Oct 2020

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe Ndugu Halima Mdee, amekamatwa na jeshi la polisi kwa madai kwamba ameingilia zoezi la uchaguzi, baada ya kudai kuna mabegi ya kura feki yanayoingizwa kituoni hapo.

Category

Show more

Comments - 0