Duration 7:3

TAMBI ZA KUKAANGA - KISWAHILI

239 096 watched
0
1.4 K
Published 6 Jul 2017

Mahitaji : Vermicelli - 1 pkt/180gms Samli - Kjk 1 1/2 Kikubwa Sukari - Vijiko 2 1/2 mpka 3 Hiliki ya unga robo kijiko Zabibu kavu - kiasi Baadhi ya viungo vengine kama utapenda ni - vijiti vya mdalasini, lozi na Vanilla

Category

Show more

Comments - 153
  • @
    @ashuramutwe39215 years ago Mashaallah! Tambi za kukaanga ni tamu sana! 2
  • @
    @zainabawadhabdallah38226 years ago Asalam aleikum ukhti. Mimi ni mmoja katika fans wako naomba utuletee pishi la kisra kutumia unga wa mchele. Allah akuhifadhi kwa kazi yako njema unayo tuletea. 4
  • @
    @khadijambuta43606 years ago Shukrani ddaty leo in shaallah nitapika.
  • @
    @aliceuwera59844 years ago Mansha allah nafurahiya sana allah akupe kila lakheri sister.
  • @
    @hailinhelen46754 years ago Mmhh tamu asante saana kwa mafunzo bora.
  • @
    @Crabtree18446 years ago Nice! Hivi sasa naja kwako, ukisikia nabisha mlangu ufungue dada! 2
  • @
    @dorisandfarook7 years ago Wow! Napenda sana tambi za kukaaga, asante. 1
  • @
    @ummusamira35187 years ago Shukran mpenzi wetu jazzakallahu lkheri vipi skukuu nawatoto mmemaliza salama tumekumisi kiasi.
  • @
    @emanuelissaya10797 years ago Nimependa hizo tambi wkend hii ntajaribu kutengeneza. 1
  • @
    @ummukulthumhafidh65997 years ago Assalamusanaa and we love u so much sis may allah protect u and ur lovelly family aamin.
  • @
    @mwanaishambili2417 years ago Karibu ma naona ulikuwa wafunga cta na kupumzika kidongo shukran kwa pishi la leo.
  • @
    @asiaissa54316 years ago Habari my dada aroma nimeangalia sijaona hivyo viungo vya mchuzi wa nyama ya ngombe.
  • @
    @verynicemkaro71167 years ago Je waweza tumia tambi za kawaida zile nene.
  • @
    @muhmahahmshaibrahim31097 years ago Assalam alaykumtunashukuru umerudi salama. Asante kwa tambi kwani ni chakula kitamu naasante. 1
  • @
    @fatihiasalim87534 years ago Nzuri sana hizi tambi, ila kama una maziwa ni vizuri zaidi ukiweka maziwa badala ya maji, pia zinakuwa na ladha muhimu ziivehbbty.
  • @
    @salhamm7427 years ago Asant sana mung akubarik tuletee tena keki disain nyengin. 3
  • @
    @ashaahmed13537 years ago Shukraan for reminding me aboutfor long tym. Leo friday will make it inshaallah. 1
  • @
    @aeshaha87707 years ago Sawa maa naulizaje kwa fb pia unaweka video mana uku saudia kuna wi-fi za bure tatizo maa nikirudi nyumban nitakupataje kiuraisi.
  • @
    @BillysFamily7 years ago Nitajaribu kupika tambi za kukaanga siku moja. Jee nimuhimu kutumia samli mana sina. 1
  • @
    @ansilaburra75287 years ago Duh! Vyakula vyako vitamu dada, what time is the lunch? I would like to join you. 3
  • @
    @maralsaally42534 years ago Assalam alykum badili ya maji naeza tia nazi? Au maziwa?
  • @
    @fatumabadi87 years ago Shukran sana naomba kujua kupika chauro. 1
  • @
    @husnanoor13687 years ago Je naweza tumia butter kama samli sina @aroma.
  • @
    @haronelisha47997 years ago Je naweza hata kupikia tambi za saintalucia?
  • @
    @asabraabdulah11307 years ago Assalam alaykum. Habibty baadala ya maji huwezi ukaeka tuwi la nazi? 1
  • @
    @ramlamohammed19344 years ago Assalam alaykum mm nataka kujua kupika faluda.
  • @
    @Juhie_5 years ago Tambi za kolsons pasta unaweza pikia vileja vya tambi?
  • @
    @mariammust82107 years ago Kama sina samli naweza tumia mafuta ya kawaida?
  • @
    @haronelisha47997 years ago Ni za wheat flour, semolina na durum. Izo ndo ingedients zake.
  • @
    @swabriali45834 years ago Kwa utamu huu kwa nini nisiwe kibogoyo kwa kupenda sukari.
  • @
    @nahidabanuadam44556 years ago Recipe ya tambi za znz napikwa na nazi.