Duration 1:42

Samatta atua bongo kuivaa Burundi, Afunguka sababu za kuondoka Aston Villa na kutimia Fenerbahce.

249 watched
0
1
Published 6 Oct 2020

#Samatta #TaifaStars #Tanzania #Burundi Nahodha wa timu ya taifa "Taifa Stars" Mbwana Ally Samatta, @samagoal77 amewasili nchini alfajiri ya leo akitokea nchini Uturuki kwa maandalizi ya mechi ya kirafiki dhidi ya Burundi itakayochezwa katika uwanja wa Mkapa siku ya tarehe 11 Oktoba, 2020. #vambatv_updates

Category

Show more

Comments - 0