Madrid ni mji mkuu wa Hispania pia mji mkubwa wa nchi mwenye wakazi 3,129,600. Jiji hili linasifa kama:-
- Moja kati ya majiji yenye Bustani nyingi na nzuri
- Lina majengo ya kale yenye kuvutia yaliyo jengwa kwa ustadi mkubwa
- Viongozi wake hususani wafalme wa enzi hizo walipenda sana majumba ya kifahari
- Nchi inapakana sana na Bara la Africa katika nchi ya Morocco.
Ungana na msimulizi katika kupata maarifa zaidi:-
Usisite Ku-Comment na Kushare, pia ku-like.
- Facebook: https://web.facebook.com/nianimaarifa� ��
- Instagram: https://www.instagram.com/nianimaarifa/� ��
- Youtube: /c/NIANIMAARIFA
Category
Show more
Comments - 1
Related videos for Lifahamu Jiji la Madrid, Jiji Lenye BUSTANI nyingi zaidi, Lililo jengwa na wafalme wa enzi hizo.: