Duration 3:50

JIMBO LA MBOWE LAVAMIWA, WANACHAMA CCM WAFURIKA KUMNG'OA MBOWE

32 574 watched
0
71
Published 14 Jul 2020

JIMBO LA MBOWE LAVAMIWA, WANACHAMA CCM WAFURIKA KUMNG'OA MBOWE... Wagombea zaidi ya kumi wamechukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa Hai kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, hii leo ikiwa ni siku ya kwanza kuanza kwa zoezi hilo nchi nzima. Jimbo hilo la Hai lilikuwa likishikiliwa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe. Katika ofisi za Chama cha Mapinduzi wilayani Hai mkoani Kilimanjaro baadhi ya watia nia waliofika mahala hapo kwa ajili ya kuchukua fomu ni SHABAN MWANGA, RICHARD KIRENDA, MANASE NKYA na ABOUBAKAR MSANGI. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 29