Duration 5:9

SAKATA LA MASWALA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA NA KENYA

3 381 watched
0
42
Published 1 Aug 2020

Hivi karibuni Kenya imetaja baadhi Mataifa ambayo ndege zake zinaruhusiwa kuingia na kutua katika viwanja vya ndege vya nchi hiyo. Mamlaka ya viwanja vya ndege hapa nchini TCAA nayo jana imetoa taarifa za kusitisha kuingia na kutua kwa ndege za shirika la ndege la Kenya KQ, hapa nchini hadi hapo TCAA itakapotoa taarifa nyingine.

Category

Show more

Comments - 26