Duration 7:51

Dunia simama wengine tushukeSikia Hekaheka hii ya mchungaji anayeibia waumini wake huko Madale

23 959 watched
0
113
Published 1 Nov 2017

Category

Show more

Comments - 53
  • @
    @estherkoya84105 years ago Mchungaji ni binadamu, iman inatoka kwa mungu, mwanadamu anapokosea msihukumu iman maana aliyeiba ni mwanadamu sio iman imeiba, 7
  • @
    @saidndimbwa49767 years ago Dalili za qiyama. Allah atupe mwisho mwema inshaallah. 15
  • @
    @vinozamhone11107 years ago Don' t call him mchungaji now just call him mr. Footprints. 9
  • @
    @fatwimamakungu54567 years ago Hahaha jamani nime cheka da huu alipo sema siku akiludi na kikombe mama anasema leo hali mbayaa wallah.
  • @
    @user-br7nc7hw3l7 years ago Huyo mwizi hapo hapa mfai uyo. Ni bora.
  • @
    @wemapingu55807 years ago Hee makubwa mwizi huyo. Huo uchungaji ni kisingizio. 1
  • @
    @suleimanaula4477 years ago M' mbwa mwitu kavalia ngozi ya kondoo. 1
  • @
    @roseuwambe8933 years ago Huyo sio mchungaji ni muizi mkubwa anajificha kwa mungu.
  • @
    @wardamunguakuzidishew93992 years ago Kama amna picha ya mtuumiwa usiweke kitabu cha mungu aliokosea ni binadamu kama nyie kwa nn mnaweka biblia mm muislamu lakini sijapenda. 1
  • @
    @manahiljamal8342 years ago Wasimfate matendo yake wayafate maneno yake.
  • @
    @mamatuishi-mamatuondoke88227 years ago Mmh huyu zoa mamaye, akome uichafua dini yetu, kibaka mkubwa. 2
  • @
    @juliethhouseofdesigns1474 years ago Uyo alijivika jina la mchungaji kama kivuri ila ukweli ni mwizi,
  • @
    @rukianzalawahe27733 years ago Sijapenda picha mlooweka mngeweka hata ya nabil tito. 1
  • @
    @fidesbenard27015 years ago Hakuna dini inayompeleka mtu mbinguni. Ni mimi na wewe kuacha matendo mabaya yaliokatazwa kwenye vitabu vya dini. Oho uislamu ndio dini poa sio kweli id="hidden1" jamani tuache kuanyooshea watu vidole uyo ametenda dhambi kama mtu mwingine. ...Expand 1
  • @
    @marygaspar64295 years ago Jamani kuna waislam wangapi wanafanya makubwa hata zaidi ya haya? Wapo mashekhe waliolawiti je? Na sisi tuwaulize uislam nao ni dini? Maana huyu mchungaji . ...Expand 1
  • @
    @fidesbenard27015 years ago Hakuna dini inayompeleka mtu mbinguni. Ni mimi na wewe kuacha matendo mabaya yaliokatazwa kwenye vitabu vya dini. Oho uislamu ndio dini poa sio kweli id="hidden3" jamani tuache kuanyooshea watu vidole uyo ametenda dhambi kama mtu mwingine. ...Expand 1
  • @
    @marygaspar64295 years ago Jamani kuna waislam wangapi wanafanya makubwa hata zaidi ya haya? Wapo mashekhe waliolawiti je? Na sisi tuwaulize uislam nao ni dini? Maana huyu mchungaji . ...Expand 1