@linaschannel37693 years agoSamahani nimesoma pft sanawari na sijafanikiwa kupata cheti mafunzo yalisitishwa kwa sababu ya ugonjwa was corona na tukaahidiwa kutumiwa ujumbe mfupi. ...Expand
@
@adelarogath64723 years agoAsante sana kaka wewe sio mchoyo mungu akubariki. 3
@
@veronica01magesa402 years agoDah jmn umetoa elimu nzuri ubarikiwe sana tunaomba uendelee kuwa msaada kwetu.
@
@teclangalale92354 years agoAsante, unafafanua vizuri bila uchoyo.
@
@gloryaugustine94644 years agoCaustic nikishaloweka labda km imekuwa nyingi na imebaki inaweza kudumu kwa muda gani? 2
@
@marymnzava17863 years agoSamahan nauliza hayo malighaf yanapatikana katika maduka gan.
@
@fasahaproductstv6384 years agoAhsante kwa ku2pa ujuz huo. Mbn caustic solution hkuiwek kwa mda baad ya kuiandaa? Nadhan kuna hatar ya sabun kuwasha hyo. 1
@
@quranismyheal97613 years agoElimu nzuri sanna umetutupa mungu akulipe.
@
@mamajryani46693 years agoSamahan maduka ya hzo marigafi yanapatikana wap kwa hapa dar.
@
@esterest43383 years agoM nataka unisaidie jinsi ya kuweka vipimo sijakuelewa.
@
@ellenkamanzi35053 years agoJe kama sitaki iwe yarangi yamaua naweza kuacha kuweka rangi nikaacha tu ikaganda yenyewe bila langi?
@
@backhome66673 years agoKwa uwiano huo faida inapatikanaje mwalimu?
@
@duoxmasisa65293 years agoMimi hii ratio 1: 4 siielewi kabisa, nahisi hii sabuni haitakuwa bora kabisa kwanini isiwe 1: 2 +mkuu?
@
@gracebenjaminnapokeakatika95652 years agoSir nilisoma kwako ukiwa huku mbeya lkn ulisema tunaweza kupata vifaa vya kufyatulia sabuni lkn jins ya kukupata hujaweka namba yako ili tufate mashine hiyo maana kukata limekua tatizo.
@
@silasjoseph53054 years agoAhsanteee saaana swali lagu ni kwamba hizo chemicals zinapatikana wapi na kwa bei gani? 1
@
@joycewanjiru95464 years agoMungu akubaliki kwa mafudisho yako mazuri alafu kuna mahali sijaelewa nikitaka kutengeneza 10litres ya maji nitaweka costic kiac gani na mafuta kiac gani pliz nijibu.
@
@paulinajohn59112 years agoMwl wangu, naombasana masomo yako, umenifaa sana. Ila natamani kuwa perfect zaidi, nisaidie vipimo vya sabuni kutokana na lita 5 ya inakuwa ngumu, mara inakuwa laini sijui nakosea vipimo may be, nisaidie tafadhali. ...Expand
@
@bahatichars58914 years agoTeacher namba yangu naombq unichek 0672188596.
@
@esterest43383 years agoSamahani mwalimu mbna sijaona kuweka, sodium silicate.
@linaschannel37693 years agoSamahani nimesoma pft sanawari na sijafanikiwa kupata cheti mafunzo yalisitishwa kwa sababu ya ugonjwa was corona na tukaahidiwa kutumiwa ujumbe mfupi. ...Expand
@
@paulinajohn59112 years agoMwl wangu, naombasana masomo yako, umenifaa sana. Ila natamani kuwa perfect zaidi, nisaidie vipimo vya sabuni kutokana na lita 5 ya inakuwa ngumu, mara inakuwa laini sijui nakosea vipimo may be, nisaidie tafadhali. ...Expand
Related videos for JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA KIPANDE.. SIR WILSON: