Duration 1:43

Jinsi Ya Kuhifadhi Apps Kwenye Playstore. (Android)

2 892 watched
0
21
Published 15 Oct 2017

Jinsi ya kuhifadhi apps kwenye play store ili uje kuzi-download baada utakapozihitaji. Ukifanya hivi inakuwa rahisi kuzipata apps ambazo unazitaka bila kupata shida ya kuanza kuzitafuta. Hapo utakuwa umeokoa muda. Apps hizo zitakaa kwenye hiyo list mpaka utakapozitoa mwenyewe kwahiyo ataukibadili na ukiweka email yako kwenye simu nyingine bado utazikuta hizo apps kwenye wishlist. __________________________________________ Jinsi Ya Kuzuia Apps Zisiji-Update Automatic Kwenye Play Store.(Android) /watch/gZg_8rwhV5ph_ Jinsi Ya Kuhifadhi Apps Kwenye Playstore.(Android) /watch/MoamVZbOTufOm Jinsi Ya Ku-Copy Link Ya Video Kwenye App Ya Youtube.(Android & IOS) /watch/IX9f-sCEwrlEf Jinsi Ya Kuangalia Vitu Vyote Ulivyotuma Kwenye Whatsapp.(Android) /watch/oaezN_mbuQubz Jinsi Ya Kuseti Daydream Kwenye Simu Yako.(Android) /watch/cvsznFaipzwiz Jinsi Ya Kuzuia Baadhi Ya Apps Zisitumie Bando.(Android) /watch/UVt8hIhOwKhO8 Jinsi Ya Kucheza Magemu Yenye Uwezo Mkubwa Bila Matatizo Kwenye Simu Za Android /watch/0_k68dy2hs026 Jinsi Ya Kuunganisha Internet Kwenye Smartphone Yeyote..(Android) /watch/8qH2GKoO6uIO2 Namna Ya Kuhamisha Apps Kwenda Katika Memory Card..(Android) /watch/Q9PY2_bgcOAgY Jinsi Ya Kurudisha Nafasi Iliyotumika Katika Memory Card..(Android) /watch/0zaE_JkDjrzDE __________________________________________ Usisahau Ku-Subscribe na Ku-Like Ili kupata video nzuri Zaidi!!!! Jiunge Nasi Kupitia ;- Instagram. https://www.instagram.com/tz_eleven/ Facebook. https://www.facebook.com/tz.eleven/ Youtube. /c/TzEleven #tzeleven

Category

Show more

Comments - 1