Duration 8:20

POLEPOLE Awajibu Twaweza, Tafiti ni nzuri lakini hazileti mkate mezani

76 381 watched
0
184
Published 6 Jul 2018

Subacribe: /c/KidaniStars Tafiti zinapaswa kuakisi hali halisi ya Watanzania. Kuna mambo mengi ya kufanyia utafiti katika nchi kama rushwa, ukosefu wa ajira n.k. Tafiti hizi ni nzuri lakini hazileti mkate mezani kwa watu wetu Subacribe: /c/KidaniStars Mikutano ya hadhara haijapigwa marufuku bali imewekewa utaratibu maalum. Tunataka viongozi mf. Wabunge wasivurugwe katika maeneo yao ya Uongozi. Wanachama hawaongezwi kwa mikutano bali mbinu za nyumba kwa nyumba hata kitanda kwa kitanda Nimekwenda majimbo kadhaa ya wapinzani kama kwa Mbowe, Mbatia, Zitto n.k na hawafanyi mikutano ya hadhara huko. Na hawa ndio wako mstari wa mbele kusema mikutano imekatazwa au inazuiwa. Lakini mikutano ya vyama Temeke, Ilala inafanyika Mnawalazimisha watu kuongelea maandamano lakini watu hawataki hayo mambo. Kwenye utafiti kila mkiwatajia maandamano wanazungumzia kufanya maamuzi na wengi wamekataa kushiriki Sishangai kukubalika kwa Rais kushuka kwani hata ndoani kuna "honeymoon phase". Maendeleo si kitu cha kimiujiza. Tunashughulikia maji, umeme, kilimo, miundimbinu n.k na mambo yako jikoni. Wasio na elimu ni wanyonge wanaziona juhudi zetu Mimi nilishiriki kuandika Katiba na nakumbuka wananchi walisema wabunge lazima wakae majimboni na Madiwanai wake katani. Hakuna mbinu nyingine ya kuhudumia watu "Be there, live there". Fact ya tatu sasa Mbowe hakai Hai, Zitto hakai Kigoma, Mbatia hakai Vunjo Kwa nini vijana wameonyesha Wanakubali chama cha mapinduzi, vijana wanatumia akili sana na wanaangalia hali ya kutabirika na wazee wanatumia hekima. Msingi wa akili ya uamuzi. Na katika chama ambacho kinatabirika mambo yake ni CCM. Sisi tumekuwa wabunifu kwenye mbinu zetu, mikutano ninayofanya mimi ni mikutano ya ndani na si ya hadhara la pili mtu wa CCM akienda popote huko nchini Tanzania wananchini wanaona ameleta masuluhisho.....Watu wananisimamisha na kusema hapa kuna tatizo...Mimi kama kiongozi nwa chama naweza kumuita Waziri Jafo na kumpa maelekezo. Subacribe: /c/KidaniStars Subacribe: /c/KidaniStars

Category

Show more

Comments - 115