Duration 7:45

MASWALI NA MAJIBU KUHUSU CORONA NA WAZIRI UMMY MWALIMU

6 127 watched
0
26
Published 5 Apr 2020

Waziri Ummy Mwalimu akizungumza na Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Dkt. Nyambura Moremi na kujibu maswali na hoja za wananchi kutoka kwenye mitandao ya kijamii na kutoka kwenye namba ya dharura (199) kuhusu ugonjwa wa Corona.

Category

Show more

Comments - 6