Duration 6:9

SERIKALI YATENGA 'HOSTELI ZA MAGUFULI' KUWA KARANTINI KWA WASAFIRI WATOKAO NJE YA NCHI

8 665 watched
0
42
Published 5 Apr 2020

Serikali ya Tanzania imetangaza rasmi kwamba wasafiri wote kutoka nchi za nje zilizoathirika na ugonjwa wa corona watalazimika kukaa karantini ya lazima kwa muda wa siku 14 katika hosteli za Chuo Kikuu Cha Dar es  Salaam maarufu hosteli za Magufuli. Akizungumza katika hosteli za Magufuli, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, amesema wasafiri hao watafikia katika hosteli za Magufuli ambazo zipo katika eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam.

Category

Show more

Comments - 18