Duration 2:21

STENDI YA MSAMVU MOROGORO KUJAZWA ASKARI POLISI NA MGAMBO

1 166 watched
0
9
Published 4 Apr 2020

tawala mkoa wa Morogoro amelitaka jeshi la polisi na ofisi ya mkurugenzi wa halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kuongeza nguvukazi ya askari katika stendi ya mabasi yaendayo mikoani ya Msamvu kama njia ya kukabiliana na misongomano isiyo ya lazima katika kupambana na maambukizi ya corona aina ya covid19.

Category

Show more

Comments - 1