Duration 2:35

WAGANGA WA TIBA ASILIA TANGANYIKA WATOA ELIMU KUHUSU CORONA

620 watched
0
7
Published 6 Apr 2020

Waganga wa tiba asilia katika halmashauri ya wilaya ya Tanganyika mkoa wa Katavi wanatoa elimu ya kujikinga na ugonjwa wa homa ya mapafu COVID-19 kwa wateja wao pindi wanapowahudumia.

Category

Show more

Comments - 1