Duration 1:52

ELIMU YA MISITU YAOKOA EKARI ZILIZOVAMIA

116 watched
0
1
Published 6 Apr 2020

Wakala wa misitu TFS wilaya ya magu wameendelea na jitihada za kuhakikisha maeneo yaliyokuwa yamevamiwa kiholela na wananchi yanarejeshwa katika hali yake lakini zaidi utoaji wa elimu ya uhifadhi kwa wananchi ili waweze kuendesha shughuli zao za uzalishaji bila kuathiri mazao ya misitu.

Category

Show more

Comments - 0