Duration 1:6

WAFANYABIASHARA MNADA WA MSALATO DODOMA WACHUKUA TAHADHARI JUU YA CORONA

1 152 watched
0
7
Published 5 Apr 2020

Licha ya Dunia kupambana kwa kuzuia mammbukizi ya virusi vya Corona na kuzuia mikusanyiko isiyo ya lazima, hapa eneo la Mnadani eneo la Msalato jijini Dodoma hali ni Tofautii, Wafanyabiashara wanaendelea na biashara ya kuchoma Nyama kama kawaida

Category

Show more

Comments - 0